Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Miez mitatu kashindwa kuvumilia, huyo ni Malaya tu, mwamamke wa tabia hizo mgumu Sana kubadilika.muwe mnachunguzana vyema kabla ya kiapo
 
Kama hukuwahi kumsaliti kwa siri tangu muoane achilia mbali haya unayoyafanya kwa sasa, usimsamehe.

Lkn kama uliwahi kumsaliti kwa siri na mpaka leo hajajua nakuomba usimhukumu kiasi hicho.

Yesu alisema asiye na kosa na awe wa kwanza kurusha jiwe hakuna aliyeweza kurusha jiwe.

Mimi sikushauri kwenda kwa kiongozi wa dini wala wa kimila au kwa wazazi. Malizaneni nyie wenyewe ndani ya nyumba.

Wanawake ni hawa hawa huyo utakayemuoa badala ya kukusaliti ATAKUUA, Mark my words
 

Tulishamalizana miaka mingi, tangu 2012 hatuna ndoa tena, sijaja hapa kuomba ushauri wa kufufua ndoa iliyokufa since 2012 nilikuja kuomba ushauri wa jinsi ya kumtoa kahaba kwangu maana amekatalia kwangu tangu mwaka huo tulioachana

It is advised to read very carefully before you start attempting questions
 

Duh, kama yeye kahaba kwa kutembea nje ya ndoa, sijui wewe utaitwaje kwa kufanya uasherati mbele ya watoto wako. Ulikosea sana mkuu. Kama mlifunga ndoa halali then tafuta talaka bila kusahau kuigawa hiyo nyumba pande mbili equal equal!!!!
 
Asante
 
Alikosea kumuingiza mwanaume ndani, that means hata uwezo wa kukua anao, kwani guest ziliisha
 
Aaah hiyo simple tu uza nyumba kajenge kwingine akitaka mgao mwambie aende mahakamani, au mwachie chumba kimoja vingine pangisha akaishi na wapangaji wewe hama nenda katafute nyumba nyingine oa kabisa kisha mtumie salamu. Hongera kwa kuvumilia kuishi na jipu kwa miaka minne
 
hahaaa maaanina hapo ingekua thread imeanzishwa na mwanamama hahaaa wangeshikilia bango mama asamehe maisha yaendelee na blablah kibao..
 
Sisi sote ni binadamu na hakuna aliye perfect..
Msahama ni adhabu kubwa sana kuliko kulipiza kisasi..
Una uhakika gani mwingine utakayempata atakuwa perfect?
Wanawake wengi tu huwafumania waume zao na kuwasamehe..
Jitahidi kusali sana..
Iombee familia yako..
Usimuache mkeo jitahidini muijenge familia..
 
huyo aliyekuwa mkeo ni kimeo yaani anamvulia chupi rafiki yako tena ndani ya nyumba yako. endelea na msimamo wako usirudi nyuma. sasa vp kuhusu matumizi hapo nyumbani
 
Unaonekana unatumia diplomasia sana ndio maana yupo mpaka sasa. ..

Badili vitasa funga nyumba ataingiaje.
 
The thing about stupid pipo is that they think they are the one who r smartest in the room so i can see
Dont worry about mi being bottom ts all okay so thanks
 
Muwe na huruma mpwa.

Mtuachiage na sisi mara moja moja
Hehehe kwanza umeskia wazee wa international routes tulichowafanya watu kwao?
You are next mpwaa wembe ni ule ule i fear for u simba wa kuchora mpwa
 
Hehehe kwanza umeskia wazee wa international routes tulichowafanya watu kwao?
You are next mpwaa wembe ni ule ule i fear for u simba wa kuchora mpwa
Shauri zako.... we shauri zako. Mwaka wa mabadiliko huu!!
 
 
pole sana kaka,kama nakuona vile unavyovimba mimacho.
kichwa cha habari nilijua mama wako anamteteaje?
kumbe mama wa watu yuko bush,nyie mjini huku mnamsumbua tu....wala hajui kitu.
we fanya yako,uzinzi wa mkeo tupa kule maisha yaendelee....hata wewe mzinzi tu,ila hujiweki bayana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…