msalala kwetu
Member
- Jan 29, 2016
- 71
- 77
- Thread starter
- #61
Nashukuru sana umenisaidia kujibu hili suala, kusamehe uzinzi ni jambo gumu sana, sina hakika sana kama watu wanaoshauri hivyo wameoa na kama ndio sijui kama wamewahi kusalitiwa, waliowahi kupitia uzoefu huu naweza kuwaelewa wanaposhauri suala la kusamehe dhambi ya uzinzihii isikie kwa mwingne lakn ikiwa yako ni ngumu kumesa.
Si jambo rahisi kumsamehe mzinzi