msalala kwetu
Member
- Jan 29, 2016
- 71
- 77
- Thread starter
-
- #61
Nashukuru sana umenisaidia kujibu hili suala, kusamehe uzinzi ni jambo gumu sana, sina hakika sana kama watu wanaoshauri hivyo wameoa na kama ndio sijui kama wamewahi kusalitiwa, waliowahi kupitia uzoefu huu naweza kuwaelewa wanaposhauri suala la kusamehe dhambi ya uzinzihii isikie kwa mwingne lakn ikiwa yako ni ngumu kumesa.
Si jambo rahisi kumsamehe mzinzi
Mama umesomekaNamshangaa tu huyo mke..tangu 2012 hujamgusa na bado yupo? Kweli ana moyo wa ajabu..ningetamani aniazime huo moyo wake. Usiponigusa mwezi tena kitanda kimoja..bila sababu yoyote ya ugonjwa, kutakuwa hakuna ndoa kwasababu maana ya ndoa kwangu ni tendo la ndoa.
Kama alivyokushauri Miss chagga...ondoka wewe mwachie watoto hapo lakini hakikisha unawahudumia watoto wako kwa kila kitu ili wasiteseke. Siku moyo wako ukipenda kumsamehe rudi kwa mkeo. Maisha mnayoishi hapo ni maigizo, mnawaumiza sana watoto na pia mnajiumiza na nyie vile vile.
wapi mwenzie alifanya kwa siri wakati nae alileta mwanamme nyumbani dada wa kazi akaona na huenda watoto wakaona. Siri kwako ni ipi hapa? kua baba hakuona..???msalala kwetu, Pole sana, Lakini wewe ni katilii khaswa.... Una moyo wa chuma/jiwe !! Mwenzio alifanya maovu kwa siri .. Nawe ulifanya dhahiri mbele ya macho yake kwa miaka kadhaa (kuzini na ke z nyumani kwenu) !!
Ushauri ntakaokuppa ni huu:- TUBU na ufute Msongo unaokutafuna kichwani kwako "START A NEW PAGE" !!
naye mke aTUBU na mupalilie upya shamba la mapenzi na muitunze familia yenu kwa Upendo !1 (usisahu una watoto the need you both) !!
Huko Msalala si geita huko au.......??
Mama, nimeupokea ushauri wako kwa mikono miwili, umeongeza kitu kikubwa sana,
Nipo tayari kumuachia nyymba ss tutaanza upya
Hii biashara ya kujiweka kwenye viatu vya mtu mwingine sio muhimu kabisa. Iko hivi kuna watu kama mimi mke wangu akicheat nikamkamata simsamehi hata iweje. Kama na yeye akinikamata nacheat ni uamuzi wake akiamua kunisamehe ni poa ila hii sio sababu ya mimi kumsamehe.Mkuki kwa nguruwe mtamu eee, kwa binadamu mchungu.
Hebu jiulize ingekuwa ni wewe mkeo kakufumania! Jiweke katika position ya mkeo. Halafu ujue jinsi wanawake walivyokuwa wavumilivu na wepesi kuSamehe na kusahau. Ukiondoka hapo no kwako, lazima utarudi tu. Nyumbani no nyumbani tu.
Kaa na mkeo mjenge fimilia acha ujinga.
DA !!wapi mwenzie alifanya kwa siri wakati nae alileta mwanamme nyumbani dada wa kazi akaona na huenda watoto wakaona. Siri kwako ni ipi hapa? kua baba hakuona..???
mtoa mada naungana na waliokuambia upeleke watoto boarding, na wewe uhame umuache huyu mwanamke kwenye nyumba. Wanawake wana cheat lakini kufikia kiwango cha kuleta nyumbani ni dharau ya hali ya juu lol... hapa simtetei kwa kweli, japo na wewe adhabu uliyompa ni kubwa mno.
Kiongozi nina uhakika hujui unachokisema, au kama unajua basi upo under influence of something,Mkuki kwa nguruwe mtamu eee, kwa binadamu mchungu.
Hebu jiulize ingekuwa ni wewe mkeo kakufumania! Jiweke katika position ya mkeo. Halafu ujue jinsi wanawake walivyokuwa wavumilivu na wepesi kuSamehe na kusahau. Ukiondoka hapo no kwako, lazima utarudi tu. Nyumbani no nyumbani tu.
Kaa na mkeo mjenge fimilia acha ujinga.
ImagineHii biashara ya kujiweka kwenye viatu vya mtu mwingine sio muhimu kabisa. Iko hivi kuna watu kama mimi mke wangu akicheat nikamkamata simsamehi hata iweje. Kama na yeye akinikamata nacheat ni uamuzi wake akiamua kunisamehe ni poa ila hii sio sababu ya mimi kumsamehe.
uliwahi kumuuliza rafiki yako kwanini alikuwa anamgonga mkeo?!unaweza kulaumu bure pengine wewe ndio tatizo
NYIE UWA MNAFANYA UCHAFU WENU HUKO NJE LAKINI MKIOMBA MSAMAHA MNASAMEHEWA
akijikaza ndo ataumia zaidi. achague ama kumsamehe au mkumwaga.Msamehe, ona unavyohangaika mwisho utapata maradhi utakufa umwachie kila kitu.
Chukulia tu kiume, jikaze msamehe rudini chumbani ya huko mkapime ili uendelee na maisha.
Hakika hakuna mtu wa kuvumilia harufu ya mav.i ya mtu mwingine, hakuna mwanamke wa kuweza kumlea mtoto wa mwanamke mwingine.
Utaishia kufa mwanangu msamehe yaishe. Wapo wanaume wenzio wanaoumizwa zaidi yako lakini kwa ajili ya watoto wanavumilia tu. Jikaze mtoto wa kiume, yamalize.
biblia inaruhusu kuachana na kuoa sababu ya uzinzi.msamehe Kwa sababu umemnyoosha vya kutosha sanaa hata hivi n mvumilivu sana hyo mke, Hata ukisema Uoe mwngine yatakuwa n Yale Yale tena kama ni mkristo hutaoa mwingine maana dini hairuhusu
Kumbuka usiposamehe Hata Mungu hawezi kukusamehe dhambi zako pia