Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

Huyu hajajua shimo alilolichimba,tumpe miaka kadhaa watoto wakue kwanza hawata waheshimu wazazi hilo walijue mapema,kwa kifupi watoto hawatataka kumuona,mwanaume mbinafsi sana malipo yake hapahapa duniani...kukosa mapenzi ya wazazi ilihali wapo hai mbaya sana...
 
Huyu hajajua shimo alilolichimba,tumpe miaka kadhaa watoto wakue kwanza hawata waheshimu wazazi hilo walijue mapema,kwa kifupi watoto hawatataka kumuona,mwanaume mbinafsi sana malipo yake hapahapa duniani...kukosa mapenzi ya wazazi ilihali wapo hai mbaya sana...
 
bora nawe umesema. Ye anaona akimwacha huyo mama na kuwapa watoto kila kitu huku wakipoteza upendo wa wazazi ni sawa. Baba mbinafsi huyu.
 
 
bora nawe umesema. Ye anaona akimwacha huyo mama na kuwapa watoto kila kitu huku wakipoteza upendo wa wazazi ni sawa. Baba mbinafsi huyu.
Nani aliwaambia furaha inapatikana kwa wazazi pekee, halaf nani aliwaambia furaha inapatikana kwa mama alieleta mwanaume mwingine ndani kwa kitanda cha baba yao?

Halaf wapo watoto wanaishi na baba na mama lakini wanashinda na mlo mmoja, wanasoma st kayumba, hawana matibabu, sasa yupi bora anaepata mahitaji yote wakati wazazi wametengana au anaeshinda kwa mlo mmoja na shule hana wala healthcare lakini anakaa na wazazi wote?
 
"Bora kupoteza gari kuliko maumivu ya kuchapiwa mke kipenzi cha roho"
 
mzazi ni mzazi tu. Hata kama mama akiwa mwizi, still watoto wake watabaki kuwa watoto wake. Watoto kuishi na baba na mama ni haki yao. Tena its is important for them kuishi na wazazi wote wawili. Swala la mama kuingia na mchepuko ndani, hiyo ni kosa amefanya. Ni funzo baya sana kwa watoto. Lakini mke na mume wanaposeparate na kuonyesha chuki za wazi mbele za watoto, hili ni fundisho gani kwao? Mistake ya kwanza iliyotokea, baba na mama waendelee kugombana huko na kumake sure wanatengeneza mistake ambayo mama alifanya mbele ya watoto. leo mtoto anaishi kwa shangazi, kesho akiwa na familia yake naye ataona sawa kuleta mchepuko ndani kwake ama kutimua mkewe na watoto akawatelekeza mahala. Jinsi wanavyogombana watoto wanaathirika zaidi.
 
Adhabu ya uzinzi kwa mke inajulikana, unfortunately haina mbadala
Ni kumuacha hata ikijirudia mara ngapi, hata hivyo sio muhimu kujadili jambo ambalo halijatokea

Na ni jambo la kushangaza kusamehe mzinzi uki assume hata ukioa mwingine atafanya tu
ahaaa kumbe tatizo lako nikupata mchepuko nje nasahv unataka kumleta ndani km mke poa nimekuelewa.ila ujue umejitengenezea bomu kubwa maishani kwa watoto wako hata uwape nn.watakuona baba mkatili kwa mama.baba alimwonea sna mama.labda hao wanyumba ndogo ndyo watakupenda.na uelewe wazi nyumb ndogo itakuwa hatari kwamchepuko atagawa uroda hadi kwa rafiki zako na usitie neno.WEKA AKIBA HAYO NAYOKUAMBIA NA IPO SIKU UTARUDI HAPA JF KUOMBA USHAURI.nasema hayo sbb nimeona meng km hayo yakwako.kila la heri
 
Reactions: nao


Baada ya mwaka leta mrejesho
 

Mie zaidi babu. Mwaka ukauanza bila taarifa ya mbuzi......

Huyo baba naniluu anaona watoto kwa sasa wanaelewa watambadilikia hataamini kwani watoto hawatamani kuishi na wazazi wao badala ya anti?
 
Isijekuwa na mama yako ni mchepukaji na hivyo haoni taabu kwa hilo. Kapime DNA maana huenda unayemuita baba siyo biological father.
 
Katika posts za JF ambazo watu wameshauri vizuri na kwa umakini ni hii yako ndugu yangu. Nayaelewa maumizvu yako ila washauri wengi wamekushauri vizuri sana sema tu hutaki kusikia pole sana kwa yaliyokusibu najua ni maumivu makubwa sana ila kuna msemo ngoja nijaribu kuuandika kwa kiswaili "sumu ya kutosamehe umuumiza zaidi asiye samehe kuliko mlengwa aliyetenda kosa" POLE SANA
 
Kabla sijasoma story yako nilitaka kukomenti hivi: 'Baba wa mtoto anamjua mama!!'

Lakini baada ya kusoma hadithi yako sheikh lazima niseme, imetulia sana; wewe ni mtunzi mzuri. Mambo ya mahusiano ni magumu sana kushauri, kwa maana ushauri tunaomba ili kupata uthibitisho wa kile tunachokiwaza. Kwanza angalia wewe moyo wako ukoje na huyo mzazi mwenzio, ingawa hujasema kama ulikwishatoa talaka au la. Kama njia zote zimeshindikana mzee kama ulivyosema, kaanze maisha mapya sehemu nyingine, two wrongs don't make it right, mnachoendelea kufanya ni kuumiza watoto wenu, na ni bora ukawaanzishia session za ushauri nasaha. Pia kaa nao karibu sana kuliko mwanamke wa nje arifu.
Naomba kuwasilisha.
 
Mkeo amejutia sana hilo kosa lake msamehe. Msamehe ili upone mlee watoto. Amejutia sana kosa ndo mana yupo hapo akivumilia yote hayo kwa kuamini siku moja utarudisha mwili na roho nyuma. Kosa halifutwi kwa kosa
 
Reactions: nao
hapo ndipo mnashangaza kweli, mnamlaumu huyu jamaa kwa aliyoyafanya kwan mwanzilishi ni nan? Ww kama mwanamke utaanzaje kuingiza wanaume kwenye nyumba ya mmeo mbaya zaid unalala naye kitandan huku watoto wako wakiwa wanaiona?

Watoto watajfunza nn kwako ww mama? Achen kutetea umalaya, kama ni chuki ya watoto poa tu lakn siwez kukaa na uchafu ndan. Msitetee ujinga onyanen. Kama unajua kuna kuheshimu watoto kwann ww upakuliwe kwenye nyumba ya mmeo? Achen hizo
 
Mie zaidi babu. Mwaka ukauanza bila taarifa ya mbuzi......

Huyo baba naniluu anaona watoto kwa sasa wanaelewa watambadilikia hataamini kwani watoto hawatamani kuishi na wazazi wao badala ya anti?
Nimekulipizia ulichonitendea
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…