Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja.
Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.

Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.

Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.

Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Mkuu unamtafutia Kalemani force death?
 
Wabongo bwana! January yupo pale hadi 2030. Tunajua mna wivu lakini vumilieni tu. Mnazidi kuiponda Serikali, pamoja na January, wenzenu wanazindua miradi tu, Wanakopeshwa na kukopesheka, na wanaongoza bila wasiwasi. Watu wanakula kuku, huku nyinyi mnapiga ramli za kuwanga atatoka lini. Poleni Wabongo roho mbaya.
Nahisi unaijua mipango yote ya Mungu aisee, sasa nisaidie na mie sijui unahisi nitaendelea kula ugali hadi lini bosi?
 
Wabongo bwana! January yupo pale hadi 2030. Tunajua mna wivu lakini vumilieni tu. Mnazidi kuiponda Serikali, pamoja na January, wenzenu wanazindua miradi tu, Wanakopeshwa na kukopesheka, na wanaongoza bila wasiwasi. Watu wanakula kuku, huku nyinyi mnapiga ramli za kuwanga atatoka lini. Poleni Wabongo roho mbaya.
Njia sahihi ya kukalia kiti hicho ni kutumia akili zote kuhakikisha umeme haukatiki, UMEME IMARA NDIO UCHUMI IMARA. KUKATIKAKATIKA KWA UMEME HUSABABISHA UCHUMI MBAYA KWA NCHI NA WANANCHI MMOJAMMOJA.
 
Wabongo bwana! January yupo pale hadi 2030. Tunajua mna wivu lakini vumilieni tu. Mnazidi kuiponda Serikali, pamoja na January, wenzenu wanazindua miradi tu, Wanakopeshwa na kukopesheka, na wanaongoza bila wasiwasi. Watu wanakula kuku, huku nyinyi mnapiga ramli za kuwanga atatoka lini. Poleni Wabongo roho mbaya.
Mioyo inatuuma sana, 🤷🏾‍♂️🙆🏻‍♀️,yaani huyo kijana siku akifukuzwa kazi, ntachinja kuku😂,yaani anakera sana, 🙂,anajitia kuchomekea mara tai, mara mkanda nje, 🤷🏼‍♂️yaani ananikera sana,
Naomba mama amuondoe huyu
 
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.

Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.
Kile kibabu cha asali kitarusha kombora
 
January mtoto pendwa Sana. Acha wahangaike na ramli chongamishi.

Hivi Kalemani ana lipi la kumshinda January? Tuache unafiki, January is far smarter than Kalemani.
Nini kinachomfanya January aonekane yuko smarter mkuu?
 
Nini kinachomfanya January aonekane yuko smarter mkuu?
Upumbavu wa mtu huonekana kupitia maneno yatokayo kinywani mwake. Mpangilio wa maneno huonesha uwezo mzuri wa akili aliyo nayo.

Sasa ukiwalinganisha hao watu wawili utalipata jibu
 
Mama Bora aniteue Mimi niwe msaidizi wake wa hii sekta muhimu ya umeme. Namuhakikishia kwa 100% hatojutia maamuzi yake.
Nashindwa jinsi ya kumfikishia ujumbe Katibu Mkuu kiongozi Ili ajue ni namna gani watu wanaweza kusaidia maeneo nyeti kama haya kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na TAIFA kwa ujumla wake

Nimefikia hatua najaribu kuwaza, hivi nchi hii kwanini watu hawana huruma na mamilioni ya watanzania? Kwanini rasilimali za nchi hii zinachezewa kwa manufaa ya wachache ambao wao ndio wanaona Wana hati miliki ya nchi hii wakati hii nchi ni ya watanzania wote na Wana haki ya kufaidika na utajiri au rasilimali za nchi ! JIBU ni HAPANA, HAPANA HAPANA.
MH. Rais , na MH. Katibu Mkuu Kiongozi, Kuna kitu inabidi mfanye Ili muache legacy ambayo kila kizazi kitawakumbuka. Waswahili Wana msemo unasema ukimchekea nyani mwishowe utavuna mabua. Chukueni maamuzi magumu japo wachache kwa maslahi Yao binafsi hayatawafurahisha lakini mtakua mmesaidia mamilioni ya watanzania na TAIFA letu litazidi kuheshimika duniaini.

Natamani kuonana nawe Mh. Rais , face to face tuongee mengi tu, ikishindikana basi Katibu Mkuu Kiongozi. Naomba tuwasiliane kama hamtojali, japo naamini ujumbe huu mtaupata ila mta-ni-underate na kunipuuzia, POA HAKUNA TATIZO ILA SIKU MOJA MTAKUJA KUNIELEWA KUWA NILIKUWA SAHIHI KWA MUDA SAHIHI.

MY PROFILE
1. Sio mchumia tumbo, na sio chawa na siutaki uchawa.
2. Mwaka 2020 niliomba kuteuliwa na Chama kupitia CCM kugombea Ubunge na kwa bahati mbaya kura za maoni hazikuniwezesha kusonga mbele.
3. Mwaka huu January niliomba Chama kiridhie kupitisha jina langu kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM, katika majina yaliyokuwa yanasambaa mitandaoni jina langu lilikuwa namba 3, likitanguliwq na la Mh. Sophia Simba, Mtemi Chenge, then la kwangu linafuata.
4. Uchaguzi wa CHAMA CHA MAPINDUZI - niliomba nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa, na MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM, huko jina langu lilichinjiliwa mbali kabisaa.

Anyway, nisiwachose , naendelea kutumikia serikali yangu kwa nafasi niliyopo and I feel proud with my career lakini naumia kuona namna Gani watu wanashindwa kuwa na uchungu na maisha ya watanzania ambao ni mamilioni ya watu huku wao wakifanya mambo ya kifisadi kwa maslahi Yao na familia zao.

Binafsi nasema hapana, something should be done.
I believe that still your not late, you can do something better for the benefits of the majority of citizens and the entire nation.

Nawatakia kazi njema na Mungu awape maoni mazuri ya kuliongoza TAIFA letu.

ASANTE.
Nextpresd

.
Ungeweka JINA lako halisi Mkuu!
 
Duuuuu.

Wanaume tupo wachache mno.

Mwandishi umeandika uzushi,uzandiki, umbea, uongo.

Wewe ni mwanaume kweli????
 
Ila ccm bila kuvunja madhabahu yenu na shetani na kumrudia Muumba mtateseka sana na kuwatesa wananchi wasio na hatia!
Kumbukeni madhambi makubwa na mateso ambayo mmeyafanya kwa wananchi (mmojammoja na kwa wengi) vilio vyao vipo mbele ya Mungu. Tubuni na kuiacha njia OVU haraka iwezekanavyo. Ndio maana hadi wazee wameanza kuongea Hovyo kabisa tena majukwaani na mbele za watu!
 
Yule Kilaza,hawezi tolewa pale. Zingatia kuwa kawekwa pale si kwa uwezo wake bali kwa sababu ya Baba yake.
 
Back
Top Bottom