Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

Mkuu unamtafutia Kalemani force death?
 
Nahisi unaijua mipango yote ya Mungu aisee, sasa nisaidie na mie sijui unahisi nitaendelea kula ugali hadi lini bosi?
 
Njia sahihi ya kukalia kiti hicho ni kutumia akili zote kuhakikisha umeme haukatiki, UMEME IMARA NDIO UCHUMI IMARA. KUKATIKAKATIKA KWA UMEME HUSABABISHA UCHUMI MBAYA KWA NCHI NA WANANCHI MMOJAMMOJA.
 
Mioyo inatuuma sana, 🤷🏾‍♂️🙆🏻‍♀️,yaani huyo kijana siku akifukuzwa kazi, ntachinja kuku😂,yaani anakera sana, 🙂,anajitia kuchomekea mara tai, mara mkanda nje, 🤷🏼‍♂️yaani ananikera sana,
Naomba mama amuondoe huyu
 
Kile kibabu cha asali kitarusha kombora
 
January mtoto pendwa Sana. Acha wahangaike na ramli chongamishi.

Hivi Kalemani ana lipi la kumshinda January? Tuache unafiki, January is far smarter than Kalemani.
Nini kinachomfanya January aonekane yuko smarter mkuu?
 
Nini kinachomfanya January aonekane yuko smarter mkuu?
Upumbavu wa mtu huonekana kupitia maneno yatokayo kinywani mwake. Mpangilio wa maneno huonesha uwezo mzuri wa akili aliyo nayo.

Sasa ukiwalinganisha hao watu wawili utalipata jibu
 
Ungeweka JINA lako halisi Mkuu!
 
Duuuuu.

Wanaume tupo wachache mno.

Mwandishi umeandika uzushi,uzandiki, umbea, uongo.

Wewe ni mwanaume kweli????
 
Ila ccm bila kuvunja madhabahu yenu na shetani na kumrudia Muumba mtateseka sana na kuwatesa wananchi wasio na hatia!
Kumbukeni madhambi makubwa na mateso ambayo mmeyafanya kwa wananchi (mmojammoja na kwa wengi) vilio vyao vipo mbele ya Mungu. Tubuni na kuiacha njia OVU haraka iwezekanavyo. Ndio maana hadi wazee wameanza kuongea Hovyo kabisa tena majukwaani na mbele za watu!
 
Yule Kilaza,hawezi tolewa pale. Zingatia kuwa kawekwa pale si kwa uwezo wake bali kwa sababu ya Baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…