MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja chini ya dogo janja.
Kwa miezi 3 sasa mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani mjengoni bila kumkasirisha dogo janja lkn bado hajapata. Aliwahi kwenda kwa mstaafu kuomba ushauri akaambiwa muache kabisa huyo 'last born'.
Akaenda kwa Mumogadishu kuomba ushauri, akaambiwa huyo ukimgusa tu anakimbilia Twitter kupost zile Picha zake za mtu anaota Moto kwa ngazi. Wakuu kwa vile mama anapita hapa kila siku ebu tumpe ushauri wa kusolve hii inshu.