Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Jina Abdul limekujaje ??

Undugu na ukaribu wa Diamond na Queen Darleen unakujaje ??

Mpaka Nyange anafariki alijua Diamond ni mwanaye ??

Ina maana mama Diamond alikuwa na mahusiano na Nyange na wakati huo huo na Abdul ??!
 
Walimwengu tutaona ni mjinga ila sio kwa Diamond na Esma.
Hakuna mama mjinga kwa mwanae
Huyu mama ndio shujaa wa wanawe
 
Queen Darlin ni mtoto wa Mzee Abdul au Mama Shamte?

Mzee Abdul nimemsikia anasema Dayamond alizaliwa kibahati mbaya tu maana "KONDOMU" ilipasuka wakati wanawezana na Mama Shamte.

SIjaelewa Mzee Abdul alikuwa Tajiri wa k/koo? Kivipi Mbona alikuwa kachoka tangia zamani tu!!

Nimependa majibu ya Mzee Abdul.
 
Daah..mambo yamefikia huku
 
Kama taarifa hizi ni za ukweli hivi huoni walimstahi sana kwa miaka yote hii?! Just imagine, kila Domo anashutumiwa kwamba roho mbaya asiyemjali baba yake mzazi huku wengine tukisema afanya afanyavyo Mzee Abdul atabaki kuwa baba yake tu! Sasa pamoja na yote hayo, bado familia, hususani Diamond mwenyewe alivumulia shutuma zote hizo kwa miaka yote hiyo hadi pale waliposema "sasa basi"!! Kama alivyosema mchangiaji joseph1989 hapo juu kwamba ukweli anaujua Bi Sandra na Mzee Abdul mwenyewe, na kwahiyo kama ni kweli, binafsi naona walimvumilia sana! Inaonesha wazi wao hawakutaka kabisa kuyaanika hadharani ila baada ya kuchoshwa, ndipo wakaamua liwalo na liwe!
 
Mzee kapanick, kaishiwa maneno na kubaki kujikosea heshma

Queen mama yake ni wa Kariakoo sio mama shamte
 
Wao ndio walioanza kumtumia kwenye kiki zao nae akajitokeza kukoleza mambo ona sasa wanayakuza. Wale wanaodiss single mothers hapa watajipatia point muhimu. Mzee alimkubali mama domo akiwa na esma kumbe akabambikiziwa hadi mimba
Hebu tuwe wakweli!! Walikuwa wanamtumia kivipi wakati kila lilipoibuka jina la Mzee Abdul ilikuwa ni kashfa kwa Diamond na Bi Sandra?! Mzee Abdul alikuwa nani hadi wamtumie kwa kiki?!
 
Na sio kumvumilia tuu, walikua wakimwambia aache hizo mambo zake wakiwa nje ya media ila mzee akajua sababu dogo anatumia jina lake hawamfanyi kitu

Sasa joto Lala mama Diamond limepanda hadi thermometer imepasukaπŸ™Œ
 
Mzee Abdul nimemsikia anasema Dayamond alizaliwa kibahati mbaya tu maana "KONDOMU" ilipasuka wakati wanawezana na Mama Shamte.
Kasema hivyo LIVE kabisa??
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
 
Kumbe bi Sanura naye pia ni msanii!!!
 
Kasema hivyo LIVE kabisa??
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Yes Clip imewekwa hapo juu katamka live.....Anasema Mama shamte alipata mimba mwanzo walipokutana kwakuwa walikuwa hawajapanga wakaichomoa na wakaamua sasa wawe wanavaa "JEZI" sasa katika purukushani "JEZI" ikapasuka ndio mimba ya dayamondi ikapatikana na walikuja kujua mimba ina miezi miwili.
 
Kasema hivyo LIVE kabisa??
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Mzee Abdul alizidisha usela hadi sasa hajui keshahama ujanani na yupo uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…