Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

[emoji23][emoji28]najichekea zangu tu hapa daah
 
Mara nyiingi saana nawaambia ndugu zangu juu ya mama zetu tumshukuru sana mungu kwa kutupa mama TIMAMU kichwanj, hawa wamama wengine chenga kwa mtu mwenye akili zake timamu unaweza ugua uchizi kwa aibu za kila siku...
 
Hiyo paragraph ya mwisho imeshiba,mimi mwenyewe natamani kuwajua.
 
Hatuna uhakika kama mzee Nassibu hakulifahamu hili swala.Uzuri lazima ataongea,vile anapenda sana media.
Mbona mzee kama amepanic umesikia akivyosikia ameruka hajui kinachoendelea
 
Diamond mzee wa kupima watoto wake dna....kumbe na yeye anafaa apimwe dna....mwehh mweeeh ... Huu mwaka unaendaa Kasi sana
 
Huyu Mzee nimemuonea huruma Sana . Ila malipo ni hapa hapa duniani
Unamuonea huruma gani, yeye pia si alishamkanaga Diamond kuwa sio mwanae enzi za ujana wake na mama dangote..

Mimi huwa nakasirishwa sana na wale watu wanakuaga na shobo mpaka wakuone umefanikiwa au una nyadhifa kidogo pesa ipo, sasa mtu wa hivyo sio binadamu wa kawaida
 
Hi iwe funzo kwetu vijana
Tunawaachia mzigo mzito sana akina dada wanateseka sana
Kisha sisi tunawaponda huku tukiwaita single mother’s [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwanini wanaendelea kutumia jina la mtu ambaye aliwakana? Mpaka wajukuu wanatumia Hilo jina fika wanafahamu sio baba yake Diamond.
 
Mara nyiingi saana nawaambia ndugu zangu juu ya mama zetu tumshukuru sana mungu kwa kutupa mama TIMAMU kichwanj, hawa wamama wengine chenga kwa mtu mwenye akili zake timamu unaweza ugua uchizi kwa aibu za kila siku...
Yaaani Huyu Mama Jamani...kweli haya Ni Mambo ya kuongea kweli...

Yaaani WATU WANACHUPA MIPAKA..
 
Ili ujue ukweli😆😆😆🤣😂
 
Hili ndio namtetea huyo mzee Abdul, ndio maana single mother wanatukanwa kwa sababu ya wanawake wachache sampuli ya mama Diamond.
 
Kuhusu mtoto kuchukua jina la baba wa kambo inawezekana na ipo sana kwenye jamii.
 
Hivi hiikisheria imekaaje?
Huyu mzee kutumika Jina lake kipindi chote hicho?
Au kudharirishwa hivyo?
Diamond mikataba yake na Makampuni?,
This is totally embarrassment kwa yule mzee
Wanaweza msababishia depression ambayo haipo,
Tafsiri yake kwa mtu mzima kama yeye ni kama kutaka kumuua,
Pata picha mzee Ana pressure,moyo etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…