makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwahiyo mondi analipiza(ana hasira) rafikk yake kalala na bimkubwa wake!?!?[emoji1787]Haswa...ila tofuti mmoja kalala na mama wa mmoja...............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mondi analipiza(ana hasira) rafikk yake kalala na bimkubwa wake!?!?[emoji1787]Haswa...ila tofuti mmoja kalala na mama wa mmoja...............
[emoji23][emoji28]najichekea zangu tu hapa daahHii familia kwenye ngono ni shida sana na wote familia nzima ina sifa moja wanafanana .
Diamond alikuwa na wema ,zari Penny ,Tanasha ,hamisa ,na kazaa na watatu bado hujui ambao ni Siri yake.
Mama Dangote yeye kapachikwa mimba enzi zake kaja kumbambikia mzee Abdul ,wameachana sasa anakazwa na bwana mdogo Uncle Shamte.
Esma yeye kaachana na petiti kwa maneno kaenda kwa huyo mwingine mwenye wake 3 wamemwagana tena na kuchafuliana mara sijui kutoa mimba.
Queen Darling yeye anahangaika huko na uke wenza .
Hii familia inapiga pumbu mbalala
Hiyo paragraph ya mwisho imeshiba,mimi mwenyewe natamani kuwajua.Haya mambo yanatokana na falsafa za familia. Mfano Mimi nimewaandikisha wajomba zangu shule January hii kwa majina ya ukoo wetu kwa sababu tu baba zao wamewatelekeza watoto wao. Hata mama zao malezi yao ni kidogo Sana, asilimia kubwa wanalelewa na bibi ambaye ni mama yangu.
Kwa hiyo huko mbeleni mojawapo akiwa maarufu, atajulikana kuwa Yuko ukoo wetu, Baba yake akija kusema huyu ni mwanangu basi itafahamika hivyo lakini si kwa jina analotaka.
Ukiangalia Ricardo Momo na diamond wanafanana kuanzia sura Hadi sauti. Yule mzee Abdul anatakiwa apewe heshima ya ubaba mlezi na si baba mzazi. Katika miaka ya Sasa malezi Yana nguvu kuliko kuzaa. Ricardo amesema amemlea Diamond Kama mdogo wake tangia diamond akiwa na miaka 10.Mzee Abdul hapewi heshima kwa sababu hakumlea diamond ipasavyo Kama ule masomo wa "ukipenda boga penda na ua lake".
Suala la Sasa ni kuangalia hii familia ya Iddi Nyange ilikuwaje na ikoje Sasa ndugu zao ni kina Nani Ili tujue ukweli.
Hakika hakuna ambaye amedanganywa mama. Tatz n kwa dingi yani n 50%kwa 50%Ndio maana wanasema una uhakika 100% wa mama yako lakini sio baba yako!
Mzee kasema mimba ya Dai ilitungwa baada ya ndomu kupasuka. Mzee balaa Sana.Nadhani ungeandika Kama unatoa maoni lakini hapa umeandika Kana kwamba ulichoandika Ni kweli na ndivyo kitakavyokuwa, all in all mzee Yuko fit na dai Hana Tatizo na mzee wake.
🤣🤣🤣Mzee kasema mimba ya Dai ilitungwa baada ya ndomu kupasuka. Mzee balaa Sana.
Mbona mzee kama amepanic umesikia akivyosikia ameruka hajui kinachoendeleaHatuna uhakika kama mzee Nassibu hakulifahamu hili swala.Uzuri lazima ataongea,vile anapenda sana media.
Familia ina Siri imemstahi Mzee mpaka imeamua kumwaga ugali na mboga SASA Mzee atulie, na akitulia Nina Imani atasaidiwa.
Unamuonea huruma gani, yeye pia si alishamkanaga Diamond kuwa sio mwanae enzi za ujana wake na mama dangote..Huyu Mzee nimemuonea huruma Sana . Ila malipo ni hapa hapa duniani
Kwanini wanaendelea kutumia jina la mtu ambaye aliwakana? Mpaka wajukuu wanatumia Hilo jina fika wanafahamu sio baba yake Diamond.Unamuonea huruma gani, yeye pia si alishamkanaga Diamond kuwa sio mwanae enzi za ujana wake na mama dangote..
Mimi huwa nakasirishwa sana na wale watu wanakuaga na shobo mpaka wakuone umefanikiwa au una nyadhifa kidogo pesa ipo, sasa mtu wa hivyo sio binadamu wa kawaida
Diamond amefeli katika hili.Yaan wamemtumia wee saiv wanamuona hana maana ila najiuliza kama sio baba yake kwann anatumia jina lake badala ya huyo mzee wake anayemuona wa maana
Yaaani Huyu Mama Jamani...kweli haya Ni Mambo ya kuongea kweli...Mara nyiingi saana nawaambia ndugu zangu juu ya mama zetu tumshukuru sana mungu kwa kutupa mama TIMAMU kichwanj, hawa wamama wengine chenga kwa mtu mwenye akili zake timamu unaweza ugua uchizi kwa aibu za kila siku...
Ili ujue ukweli😆😆😆🤣😂Haya mambo yanatokana na falsafa za familia. Mfano Mimi nimewaandikisha wajomba zangu shule January hii kwa majina ya ukoo wetu kwa sababu tu baba zao wamewatelekeza watoto wao. Hata mama zao malezi yao ni kidogo Sana, asilimia kubwa wanalelewa na bibi ambaye ni mama yangu.
Kwa hiyo huko mbeleni mojawapo akiwa maarufu, atajulikana kuwa Yuko ukoo wetu, Baba yake akija kusema huyu ni mwanangu basi itafahamika hivyo lakini si kwa jina analotaka.
Ukiangalia Ricardo Momo na diamond wanafanana kuanzia sura Hadi sauti. Yule mzee Abdul anatakiwa apewe heshima ya ubaba mlezi na si baba mzazi. Katika miaka ya Sasa malezi Yana nguvu kuliko kuzaa. Ricardo amesema amemlea Diamond Kama mdogo wake tangia diamond akiwa na miaka 10.Mzee Abdul hapewi heshima kwa sababu hakumlea diamond ipasavyo Kama ule masomo wa "ukipenda boga penda na ua lake".
Suala la Sasa ni kuangalia hii familia ya Iddi Nyange ilikuwaje na ikoje Sasa ndugu zao ni kina Nani Ili tujue ukweli.
Hili ndio namtetea huyo mzee Abdul, ndio maana single mother wanatukanwa kwa sababu ya wanawake wachache sampuli ya mama Diamond.Huyu mama ni mkosi!! Na huenda alikuwa "changu"!
Sasa anaemwita baba mlezi ndie anaelalamikiwa kuwa alimtelekeza Dimond akiwa mtoto, na hastahili chochote...
Huyu anaedaiwa kuwa baba mzazi ambaye inaonekana ndie haswaa alikimbia kabisa majukumu, si ndio atatukanwa matusi ya nguoni!
Mungu hawezi kukupa kila kitu, atakupa pesa na umaarufu...atakunyima mama mwenye akili!