Wapo sahihi kuweka mambo wazi kama ni kweli wasemayo ni ya kweli. Na hii imetokana na nyie wanazengo kumshikilia bango hamtunzi baba yake..Hii Familia ina matatizo makubwa,. Wanapenda sana kuongelewa mitandaoni,.
Poleni sana wanaume, mnavuna mlichokipanda.kile kisa nacho kilikua hatari, hawa wanawake ndio wanatufanya tufe mapema sana
Kuhusu mtoto kuchukua jina la baba wa kambo inawezekana na ipo sana kwenye jamii.
Mzee kaona km mbwai iwe mbwai kasema ndomu ilipasuka tu na mtoto wa kwanza walitoa mimba.Daah..mambo yamefikia huku
Family friend......till further noticeHivi queen darleni ni na nani katika familia ya mama dangote
Tena za moto motoMiaka hiyo zana zilikuwepo? Tuanzie hapo kwanza
Yaan huko insta kazi yangu ni kuangua tu vicheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Mzee kasema mimba ya Dai ilitungwa baada ya ndomu kupasuka. Mzee balaa Sana.
Aibu kwa huyo mama ovyo kabisa ambae hajielewiYote haya yanini hivi,najaribu kuwaza kufikiria sipati jibu
sawa anayosema mama diamond,sawa anayosema mzee abdul
sawa yote yanayosemwa na kila mtu,swali langu lipo pale pale
yote haya ni yanini? ili iweje? nani ameyafukua? kwa faida ipi?
ok fine diamond sio mtoto wa mzee abdul So what eheee nini kifatacho?
ok sawa mama diamond alichanganya madesa,tushajua so what? inatusaidia nini?
kuna vitu vinafanyika unaangalia unatafuta mtu mzima ktk haya masakata unawakuta
wapo watu wazima kibao ila wote hawaoni kuwa wanachofanya ni ujuha,kila mtu anataka aonyeshe ubora wa kumbukumbu zake
sawa ila concept nzima ya huu uduvi sijaielewa na mwisho wa haya yote ni Aibu,yes ni aibu inakuja wala haipo mbali.
Mnahamishwa tu na ile interview ya esma
Muanze kujadili hili sasa
Ova
Ndio, nimewaona wengi.Wapo wengi wanachukua majina ya baba walezi.
Wewe jamaa ni falaa kweliTujuane sasa ; kwahiyo Daimond ni Mchaga wa wapi ? Tuanze kumfanyia matambiko ya kichaga. Nillan na Tifa Wote waje Uchagani wapatambue kwao na asili yako.
Hii move ni tamu kutumia Jina la baba mlezi mbona ni kawaida sana. Mtoto ni Mali ya Serikali, Mtoto ni wa Mama na Serikal tu Mwanaume ni mlezi na muangalizi tu.
Hata Yesu hana Baba, Joseph alikuwa ni mlezi na muangalizi tu .
Diamond arudi kwao Uchagani apajue na ajue ndugu zake.
Mdomo ukizidi ni shida ; Mzee Abdul alipewa heshima sana lakini hakuweza kukituliza.
Daimond ukisikiliza nyimbo yake na Flavor ya Nana utasikia akipataja kwao na kilevya chao cha Asili. Tatizo wabongo hamjui kusoma Alama. The guy was trying to expose his Masonic truth. Diamond haimbi kitu isipokuwa anatoa ujumbe.
Ukisikiliza Kwangaru, anapataja kwao upande wa Mama yake. Diamond knew this since day one [emoji3516], kuwa yeye ni wa KILIMANJARO!
Mzee Abdul imeisha hiyo ; Muha ni Muha tu . Shaka yangu huyu mzee asije kufa kwa stress. Na siku nyingine atambue waandishi wa Habari ni mashetani, hawakuachi mpaka wakuingize shimo.
Duh!Domo kamtumia sana mzee naona sasa wameamua kumtosa