Yote haya yanini hivi,najaribu kuwaza kufikiria sipati jibu
sawa anayosema mama diamond,sawa anayosema mzee abdul
sawa yote yanayosemwa na kila mtu,swali langu lipo pale pale
yote haya ni yanini? ili iweje? nani ameyafukua? kwa faida ipi?
ok fine diamond sio mtoto wa mzee abdul So what eheee nini kifatacho?
ok sawa mama diamond alichanganya madesa,tushajua so what? inatusaidia nini?
kuna vitu vinafanyika unaangalia unatafuta mtu mzima ktk haya masakata unawakuta
wapo watu wazima kibao ila wote hawaoni kuwa wanachofanya ni ujuha,kila mtu anataka aonyeshe ubora wa kumbukumbu zake
sawa ila concept nzima ya huu uduvi sijaielewa na mwisho wa haya yote ni Aibu,yes ni aibu inakuja wala haipo mbali.