Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Wachaga hatuna uswahili kama wa mondi
 
Huyu mzee nae alizidi kulalamika kila siku. Angekaa kimya yasingempata yote haya. Sasa queen Darleen amsaidie baba yake. Mondi keshajitoa
 
Official Documents zote za Diamond zina jina la Naseeb Abdul ????

Hizi Drama impact yake itakuja kuwa kishindo kizito.
 
Hi iwe funzo kwetu vijana
Tunawaachia mzigo mzito sana akina dada wanateseka sana
Kisha sisi tunawaponda huku tukiwaita single mother’s [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unaposema mzigo unamaanisha nini maana inaonekana huyo mama Dangote alikuwa demu tu wa mzee abdul ambaye hakuzaa naye mtoto yeyote.
 
Ulivyomalizia umeniacha hoi
 
kwa kuangalia picha tu huyu anaonrkana kua na undugu na Mond but kwa nini mama afiche ukweli miaka yote hiyo? hapa ndo inakuja kujidhihirisha kwamba WANAWAKE NI NDUGU NA SHETANI ISHINI NAO KWA AKILI
Nimeitizam ile intvw ya Mzee Abdul na Mama yake D.
Kuna maswali mengi inabidi huyu mama ayajibu.
1.Kabla ya umauti kumkuta mzee Nyange,alikiwa anajua Nasib mwanae au nae alimficha?
2.Amesema D si mtoto wa mzee Abdul,bali alikuwa baba mlezi na mwanzo mzee Abdul aliikataa Mimba,sasa inakuwaje mtu anaye ikataa mimba awe baba mlezi.....????
3.Situation ya mimba ya Diamond kupatikana ilikuwaje kuwaje?

Alafu hata huyo mzee Abdul naye dish limeyumba,anasema Diamond hamsaidii jana kwa kinywa chake akihojiwa na SnS amesema Diamond huwaga anamsaidia na anampa hela zina range laki 2 mpaka 1mil,sasa najiuliza kwa nini alikuwa anasema uwongo akihojiwa na vyombo vya habari ?

Alafu inaonekana ana mmaindi Shamte,anadai haiwezekani yeye apate kidogo,wenzake wapate kingi.......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Tatizo Watanzania tupo nyuma sana kimaendeleo,nchi za watu hata baba mlezi ni baba.So undugu wa queen na Nassibu unatokana na baba mlezi
Huyu Mama haaminiki, jana katika Radio kasema Esma ndugu kwa mama tumbo moja baadae akasikika Esma mtoto wa dada yangu mara Mzee Abdu hakumlea Diamond mara Queen Darlin ndugu na Diamond wamelelewa na baba mlezi hata hujui lipi ndio lipi mimi nadhani hawa wakamatwe wote hata yeye Mama wakipimwe DNA inawezekana hata Mama alimuiba huyu Diamond 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Naunga hoja 100%, yupi bora aliyekataa kabisa hata jina lake au huyu aliyejaribu hata kutoa jina lake na kusaidia kulea hata kama sio kipesa yupi bora? kweli Mama mswahili sana au bora huyo Uncle Shamte ambaye hata clinic hajaenda ale pesa...
 
Diamond mshikaji wangu usituangushe wanaume toa maamuzi kiume usiogope chochote kuhusu mama yako
 
Official Documents zote za Diamond zina jina la Naseeb Abdul ????

Hizi Drama impact yake itakuja kuwa kishindo kizito.
Tatizo mshua hana back upp,simuiti mzee maana kanipita tumiaka tu.
Angepata back upp anaweza kubounce back.
Ila ndo hivyo tena kamwachia mungu auze buti zake basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…