Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Ndiyo kwao. Na ndio maana anaakili ya kutafuta. Nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu akili ya Mondi.

Ukiangalia akili ya kiba na Dai tofaut ni kubwa sana. Sasa ndiyo nimeelewa kwanini Daimond ni fighter na Akili kubwa. Hakuna Muha anaweza kuwa akili kubwa namna hiyo na akatengeneza pesa hivyo. Muha ni Muha tu
Wachaga hatuna uswahili kama wa mondi
 
Huyu mzee nae alizidi kulalamika kila siku. Angekaa kimya yasingempata yote haya. Sasa queen Darleen amsaidie baba yake. Mondi keshajitoa
 
Hivi hiikisheria imekaaje?
Huyu mzee kutumika Jina lake kipindi chote hicho?
Au kudharirishwa hivyo?
Diamond mikataba yake na Makampuni?,
This is totally embarrassment kwa yule mzee
Wanaweza msababishia depression ambayo haipo,
Tafsiri yake kwa mtu mzima kama yeye ni kama kutaka kumuua,
Pata picha mzee Ana pressure,moyo etc
Official Documents zote za Diamond zina jina la Naseeb Abdul ????

Hizi Drama impact yake itakuja kuwa kishindo kizito.
 
Hi iwe funzo kwetu vijana
Tunawaachia mzigo mzito sana akina dada wanateseka sana
Kisha sisi tunawaponda huku tukiwaita single mother’s [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Unaposema mzigo unamaanisha nini maana inaonekana huyo mama Dangote alikuwa demu tu wa mzee abdul ambaye hakuzaa naye mtoto yeyote.
 
Tujuane sasa ; kwahiyo Daimond ni Mchaga wa wapi ? Tuanze kumfanyia matambiko ya kichaga. Nillan na Tifa Wote waje Uchagani wapatambue kwao na asili yako.

Hii move ni tamu kutumia Jina la baba mlezi mbona ni kawaida sana. Mtoto ni Mali ya Serikali, Mtoto ni wa Mama na Serikal tu Mwanaume ni mlezi na muangalizi tu.

Hata Yesu hana Baba, Joseph alikuwa ni mlezi na muangalizi tu .

Diamond arudi kwao Uchagani apajue na ajue ndugu zake.

Mdomo ukizidi ni shida ; Mzee Abdul alipewa heshima sana lakini hakuweza kukituliza.

Daimond ukisikiliza nyimbo yake na Flavor ya Nana utasikia akipataja kwao na kilevya chao cha Asili. Tatizo wabongo hamjui kusoma Alama. The guy was trying to expose his Masonic truth. Diamond haimbi kitu isipokuwa anatoa ujumbe.

Ukisikiliza Kwangaru, anapataja kwao upande wa Mama yake. Diamond knew this since day one [emoji3516], kuwa yeye ni wa KILIMANJARO!

Mzee Abdul imeisha hiyo ; Muha ni Muha tu . Shaka yangu huyu mzee asije kufa kwa stress. Na siku nyingine atambue waandishi wa Habari ni mashetani, hawakuachi mpaka wakuingize shimo.
Ulivyomalizia umeniacha hoi
 
kwa kuangalia picha tu huyu anaonrkana kua na undugu na Mond but kwa nini mama afiche ukweli miaka yote hiyo? hapa ndo inakuja kujidhihirisha kwamba WANAWAKE NI NDUGU NA SHETANI ISHINI NAO KWA AKILI
Nimeitizam ile intvw ya Mzee Abdul na Mama yake D.
Kuna maswali mengi inabidi huyu mama ayajibu.
1.Kabla ya umauti kumkuta mzee Nyange,alikiwa anajua Nasib mwanae au nae alimficha?
2.Amesema D si mtoto wa mzee Abdul,bali alikuwa baba mlezi na mwanzo mzee Abdul aliikataa Mimba,sasa inakuwaje mtu anaye ikataa mimba awe baba mlezi.....????
3.Situation ya mimba ya Diamond kupatikana ilikuwaje kuwaje?

Alafu hata huyo mzee Abdul naye dish limeyumba,anasema Diamond hamsaidii jana kwa kinywa chake akihojiwa na SnS amesema Diamond huwaga anamsaidia na anampa hela zina range laki 2 mpaka 1mil,sasa najiuliza kwa nini alikuwa anasema uwongo akihojiwa na vyombo vya habari ?

Alafu inaonekana ana mmaindi Shamte,anadai haiwezekani yeye apate kidogo,wenzake wapate kingi.......😀😀😀.
 
Tatizo Watanzania tupo nyuma sana kimaendeleo,nchi za watu hata baba mlezi ni baba.So undugu wa queen na Nassibu unatokana na baba mlezi
Huyu Mama haaminiki, jana katika Radio kasema Esma ndugu kwa mama tumbo moja baadae akasikika Esma mtoto wa dada yangu mara Mzee Abdu hakumlea Diamond mara Queen Darlin ndugu na Diamond wamelelewa na baba mlezi hata hujui lipi ndio lipi mimi nadhani hawa wakamatwe wote hata yeye Mama wakipimwe DNA inawezekana hata Mama alimuiba huyu Diamond 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Huyu mama ni mkosi!! Na huenda alikuwa "changu"!

Sasa anaemwita baba mlezi ndie anaelalamikiwa kuwa alimtelekeza Dimond akiwa mtoto, na hastahili chochote...
Huyu anaedaiwa kuwa baba mzazi ambaye inaonekana ndie haswaa alikimbia kabisa majukumu, si ndio atatukanwa matusi ya nguoni!

Mungu hawezi kukupa kila kitu, atakupa pesa na umaarufu...atakunyima mama mwenye akili!
Naunga hoja 100%, yupi bora aliyekataa kabisa hata jina lake au huyu aliyejaribu hata kutoa jina lake na kusaidia kulea hata kama sio kipesa yupi bora? kweli Mama mswahili sana au bora huyo Uncle Shamte ambaye hata clinic hajaenda ale pesa...
 
Diamond mshikaji wangu usituangushe wanaume toa maamuzi kiume usiogope chochote kuhusu mama yako
 
Official Documents zote za Diamond zina jina la Naseeb Abdul ????

Hizi Drama impact yake itakuja kuwa kishindo kizito.
Tatizo mshua hana back upp,simuiti mzee maana kanipita tumiaka tu.
Angepata back upp anaweza kubounce back.
Ila ndo hivyo tena kamwachia mungu auze buti zake basi.
 
Ila huyu mama Ni mnafki aisee [emoji846][emoji846]
IMG_20210116_072615.jpg
 
Back
Top Bottom