Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Haiitaji ata DNA kumtambua mond na abdul. Sura tu zitamuumbua,, mond kafanana sana na abdul
 
Watakuwa wamefanya DNA test kisirisiri ndiyo maana huyo mama anazungumza kwa uhakika kabisa
 
Kitendo alichofanya huyu mama atakilipia Diamond. Inasikitisha sana kuona ujinga wa mama unavyopelekea kuleta laana kwa watoto. Inawezekana ndivyo walivyokuwa wanajua na ndio sababu ya kumtenga lakini busara zote zinaonyesha kwamba mama na mwana wamekosea.
 
Nipeni jembe nikalime.

Wakimaliza huu mzozo mnipe kapu nikavune!
 
Mnalazimisha sana Abdul awe baba yake Diamond
Hata Mie nawashangaa ndio maana hata alivyokuwa alimkataa mama yake alifuata ya kuolewa Tu mtoto wake akawa anajitunzia mwenyewe. Wenye akili tulishamshtukia huyu Mzee angekuwa kweli ni Baba WA Dai na Dai anamtendea ndivyo sivyo na yeye alimkana asingejitokeza hadharani kujiabisha angekula Jiwe Tu. Kuna walakini mkubwa WA kauli matendo ya Mzee Abdul dhidi ya Diamond.
 
Bila shaka kwenye mikataba pia ametumia jina hilo. Mzee kama akikomaa alifute kisheria sijui athari yake itakuwa ya namna gani!
Hamna athari yoyote kwa sababu sio kwamba Mzee Abdul hakufahamu jina lake linatumika! Suala kwanini litumike wakati sio mtoto wake, hiyo haiwezi kuwa issue!!!
Na pia haiwezekani kusema kwamba Diamond ametumia jina kwa maslahi yake binafsi wakati jina lenyewe halikuwa na impact yoyote kwa jamii! Kwa mfano tuseme angekuwa amechukua jina la "Reginald Mengi". Hapo mtu anaweza kujenga hoja kwamba alitumia jina la Reginald Mengi kujinufaisha kwa sababu kila alipopita alifahamika kama mtoto wa Business Tycoon!! Na haiingii hata kwenye impersonation kwa sababu hakutumia jina la Abdul ili ajifanye mtoto wa Abdul bali alitumia jina la Abdul kama jina la mzazi! Na kwa upande mwingine, hata kama ni crime bado crime hiyo haiwezi kuwa kwa Diamond kwa sababu yeye kapata akili kajikuta anaitwa Naseeb Abdul Juma, na cheti cha kuzaliwa kimeandikwa hivyo!! Hakujipa mwenyewe hilo jina. Mbaya zaidi, hata huyo Mzee Abdul hana uwezo wa kuthibitisha kwamba jina la Abdul Juma analotumia Diamond ni Abdul Juma yeye kwa sababu kuna maelfu kama sio malaki au hata mamilioni ya akina Abdul Juma!
Jina si just a jina, and no one has control of names ownership!! Ikiwa hata movies au miziki zenye copyright titles zinakuwa free kutumika na yeyote na kwamba hakuna hatimiliki ya title, seuze jina la kawaida!

Labda amepata haki sana, na ikaonekana ni kweli Abdul Juma huyo ni yeye, labda anaweza ku-claim jina husika lifutwe kwenye birth certificate lakini
 
Wanaume huwa hatusemi mapungufu ya wake zetu ikiwa tumeachana nao! Kuna mambo mengine ni ya kiudhalilishaji kwa sababu kuyatamka hautomdhalilisha mwanamke bali unamdhlilisha mama wa mtoto wako na kuidhalilisha familia ya mwanamke nzima.

Zipo picha kadhaa wa kadhaa zinasambaa mitndaoni zikionyesha mzee akiwa na diamond tangu akiwa kichanga mpaka amekuwa kama wa miaka 10 au 12 hiviii..

Wanawake mna roho mbaya sana! Nimeyasikia na nimeyashuhudia kisa unagombana na mzazi mwenzako unamnyima mwanaume fursa ya kuwa na mwanae na kumlisha mtoto sumu tu kuhusu baba yake ijapokuwa wapo pia wanaokana malezi.
 
Uliwahi kusiki mara ngapi mwanamke amekataa mimba? Ni kwa nadra sana pia wanawake hutelekeza watoto, hivyo wanaume hawana chochote kikubwa cha kuwasema wanawake katika suala hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…