Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Vip Diamond angekuwa muuza mitumba huyu mzee angemtafuta na kumng'ang'ania kama afanyavyo sasa.
 
Huyo bi mkuwa ni mdangaji mpaka sasa uzeeni, kama kusoma husomi hata picha zake huoni?

Aah nimesahau ni mwenzioooo.....

Huwezi kuona mantik.....
Mkuu usifosi Sana , hata mama yako anaweza kuwa alikuwa mdangaji maarufu huko kwenu, Kuna wazee wanakuchora tu namna walivyocheza vya gizani na mama yako. Kwa hiyo tuwe na akina ya maneno.
 
Kwamba we unadhani kumbakia mtu mtoto ni jambi jema na la kujidai [emoji15]

Ngoja tutaona mengi tu yule mzee ni babake diamond kabisa

We ngoja wakati utajibu vizuri
 
Verified kwa mere statement ya mama anayetaka kumkomoa mzazi mwenzake!! Waende kwa wakemia walete DNA kama Mondi na huyo Ricardo ni half brothers.
 
Anaona ni sawa kwa ufedhuli aliiofanya yule mama

Ndio maana single mazaz wako wengi Sana siku hizi nayo no ufahari etih?,

Duuh hii dunia hatari sana
 
Sasa nimeelewa kwanini ktk Torati na Quran Mungu aliagiza wazinzi.wapigwe mawe hadi kufa, na huko uchagani mtu akibeba mimba kabla ya ndoa auwawe. Mtu anafanya ushenzi na utapeli halafu anajitapa hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…