Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Nyange for nyangema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip Diamond angekuwa muuza mitumba huyu mzee angemtafuta na kumng'ang'ania kama afanyavyo sasa.Hali ingekuwa tofauti kama Mzee Abdul angekuwa Mfanyabiasha tajiri, ila inapokuwa kinyume chake ni changamoto.
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma nikiwa Mfanyakazi kwenye Kampuni moja kuna Mfanyakazi mmoja ilitoka taarifa kuwa ni Mtoto wa Tajiri mmoja wa hapa Arusha ingawa Binti alikuwa na maisha yake na Tajiri anaishi kivyake na familia yake huko....sasa habari zilienea vipi anayejua ni huyo Binti....sasa ungejiuliza ni kwa nini Binti alikuwa anatumia nguvu kumtambulisha Mtu tofauti na kule anapoishi....jibu ni simpo tu "Pesa/umaarufu"
Salum Idd Nyange kama ni betting basi hiyo mikoa ya Pwani,Tanga na Moro ndiyo naipa nafasi.Hatujajua bado ni nyange wa kilimanjaro, morogoro,Tanga,Musoma au Pwan.
😂😂😂😂😂😂unyangemaNyange for nyangema
Na wewe fanya udadisi wa baba yako originalMbona mimi ni mchaga lakini ukoo wa Nyange sijawahi kuusikia huko uchagani?
Au ni ukoo tulioununua kipindi hiki cha karibuni?
Aweee thubutu!????? Mbona aliwaterekeza?Vip Diamond angekuwa muuza mitumba huyu mzee angemtafuta na kumng'ang'ania kama afanyavyo sasa.
Mkuu usifosi Sana , hata mama yako anaweza kuwa alikuwa mdangaji maarufu huko kwenu, Kuna wazee wanakuchora tu namna walivyocheza vya gizani na mama yako. Kwa hiyo tuwe na akina ya maneno.Huyo bi mkuwa ni mdangaji mpaka sasa uzeeni, kama kusoma husomi hata picha zake huoni?
Aah nimesahau ni mwenzioooo.....
Huwezi kuona mantik.....
Yule mama yake kiba n m mama moja smart sana uwezi mkuta kwenye upuuz wa ivMe mama kiba simjui
😁😁😁😁😁😁wamama mitano kwao tenaNa wewe fanya udadisi wa baba yako original
Kwamba we unadhani kumbakia mtu mtoto ni jambi jema na la kujidai [emoji15]Hello JF,
Kama mnavyojua mwanamke akipata mimba ana uhakika mimba ni yake...
Ila kwa wanaume mimba hakuna guarantee ya kujua ni yake/ingawa kuna DNA testing siku hizi...
Swala la partenity ni suala linalowanyima usingizi wanaume...
Jambo ambalo lilikuwepo tangu zamani,
Mpaka leo it is believed wanaume wengi kuchepuka ni katika harakati za kutaka maximizing their chances of being a father, sababu kuzaana ndio lengo kuu la kuwepo sisi duniani.
Anyway,
nilichotaka kusema leo,
ingawa wanawake tunapenda ubuyu but watakaoongea sana kwenye hii ishu ya Diamond ni wanaume! lol
Tutegemee nyuzi nyingi za wakaka humu kuhusu hili... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mama Diamond kagusa pale panapouma...
A reminder of their worst nightmares!
Wanaume wa humu tulieni tu dawa iwaingie[emoji1787][emoji1787]
************* Diamond, is either uwaache wote baba zako au uwe nao wote, ukijifanya kuchagua mmoja over the other,the public wont forgive you. Anyway its your life.
Leo nimejiskia tu kuandika chochote....lol
Verified kwa mere statement ya mama anayetaka kumkomoa mzazi mwenzake!! Waende kwa wakemia walete DNA kama Mondi na huyo Ricardo ni half brothers.Wakuu kumekucha.
Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.
Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),
Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku
Jokajeusi
bibi ake tiffa anadharirisha wajukuu wakeYule mama yake kiba n m mama moja smart sana uwezi mkuta kwenye upuuz wa iv
Anaona ni sawa kwa ufedhuli aliiofanya yule mamaWe vipi?
Dawa gani ituingie?
Huo umalaya , kutapatapa, utapeli na wizi. Mi ningedai fidia ambayo wangelipa mama na hiyo haramu yake mpaka iwe historia kwa watu wa aina hii.
Wakipima DNA utakuta hata aliyetajwa sie?
Wamama wadangaji na kumbukumbu hawana. Aibu!!
Mimba za uwanja wa fisi...umelewa bwii ..matap tap
hapo panaweza kuwa pabayaVerified kwa mere statement ya mama anayetaka kumkomoa mzazi mwenzake!! Waende kwa wakemia walete DNA kama Mondi na huyo Ricardo ni half brothers.
Sasa nimeelewa kwanini ktk Torati na Quran Mungu aliagiza wazinzi.wapigwe mawe hadi kufa, na huko uchagani mtu akibeba mimba kabla ya ndoa auwawe. Mtu anafanya ushenzi na utapeli halafu anajitapa hadharaniHello JF,
Kama mnavyojua mwanamke akipata mimba ana uhakika mimba ni yake...
Ila kwa wanaume mimba hakuna guarantee ya kujua ni yake/ingawa kuna DNA testing siku hizi...
Swala la partenity ni suala linalowanyima usingizi wanaume...
Jambo ambalo lilikuwepo tangu zamani,
Mpaka leo it is believed wanaume wengi kuchepuka ni katika harakati za kutaka maximizing their chances of being a father, sababu kuzaana ndio lengo kuu la kuwepo sisi duniani.
Anyway,
nilichotaka kusema leo,
ingawa wanawake tunapenda ubuyu but watakaoongea sana kwenye hii ishu ya Diamond ni wanaume! lol
Tutegemee nyuzi nyingi za wakaka humu kuhusu hili... 🤣 🤣 🤣
Mama Diamond kagusa pale panapouma...
A reminder of their worst nightmares!
Wanaume wa humu tulieni tu dawa iwaingie🤣🤣
************* Diamond, is either uwaache wote baba zako au uwe nao wote, ukijifanya kuchagua mmoja over the other,the public wont forgive you. Anyway its your life.
Leo nimejiskia tu kuandika chochote....lol
Baba yangu original ni baba yanguNa wewe fanya udadisi wa baba yako original
Kabisa mkuu, kwa mama mwenye akili awez kufanya ujinga anaofanya yule mama inaonekana kabisa kwenye ujana wake alikua sio mchezobibi ake tiffa anadharirisha wajukuu wake