Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Huyu mama katuletea balaa, sijui lengo lake ni ada zisilipwe njanuary hii mpaka mkemia mkuu atoe tamko[emoji2297][emoji2297][emoji2297]

Hajatumia akili hata chembe, yeye angejikausha zake, huyo mzee Abdul angefanyiwa hisani tuu kwani shilingi ngapi kumpa hata kwa mwezi laki 5 zingemtosha. Sasa sijui kafaidika nini
 
Hajatumia akili hata chembe, yeye angejikausha zake, huyo mzee Abdul angefanyiwa hisani tuu kwani shilingi ngapi kumpa hata kwa mwezi laki 5 zingemtosha. Sasa sijui kafaidika nini
Yaani angetulia mtu mwenyewe aliwakimbia lakini anapewa chochote angejikalia kimya ale anachopewa
 
Huyu mama anajiabisha yeye anafikiri ni sifa sasa kutaja amelala na wanaume tofauti,
 
Asante, unajua sahizi ni mtu mzima na ana watoto pia akiwaendekeza wale atachanganyikiwa, wakati wanatafutana hakuwepo, kama wao hawakubahatika kupata pesa au utajiri basi wamwache wanamvuruga tu.

Nimemuonea sana huruma ila no way, huwezijua mungu anamlipa nini alichofanya zamani, lakini Diamond naye atalipia hii
 
Sema Morogoro kuna makabila mengi yaliyojimilikisha baadhi ya maeneo aise. Pale Dumila ni kama vile pamekuwa pa wamaasai.

Ni kweli kabisa, Kuanzia Dakawa, Dumila mpaka unatokea Dodoma wamejaa wamasai na wagogo.

Ila Nyange ni ukoo wa kichaga na kipare historikali achana na haya majina ya kuazima ambayo kabila lolote linaweza kutumia kama jina kwa mtoto anayezaliwa
 
Nashangaa namna mtu anavyoenda kuhama kabila kizembe tu. Kazi kweli kweli aise.

Shida Baba Diamond hakumuoa huyo mama na walishaachana, waliishi kiholela kama mbuzi dume na mbuzi jike, hivyo matokeo yake ndio hayo ya kiholela.
Hata kwenda mahakamani hapo hakuna kitakachofanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…