Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Ukisoma kitabu cha Bill Clinton "My Life", Bill Clinton kaandika kwamba baba yake mzazi aliitwa Blythe.

Hilo jina la Clinton alichukua jina la baba mlezi.

Si ajabu mtoto kuchukua jina la baba mlezi.
 
Wee hayo machungu utayakumbuka wapi wakati single maza anakupa bj alafu anakwambia bbby cummm in my mouth...lazima udate.

Mithali 5: 3- 6
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili. Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
 
Huyu mzee mnamuandama sana wakati yeye yupo kimya. Kwanini?

Mwacheni aendeshe maisha yake kwakuwa amekuwepo kabla ya huyo Diamond pamoja na mama Diamond.

Mnakuwaje kama inzi na mbu kazi kusumbuasumbua waliotulia?
 
Maana ya baba ni malezi


Na sio Mzazi


Hata wodini hakuna wodi ya wazazi (baba).

Bali baba ni kwa malezi yupo sahihi mondi.
Dudu la Yuyu hata malezi hakutoa yeye ilikuwa ni mikasi tu 🙄
 
Kwani uongo braza asali ndio anaiweka mdomoni huku anakupa bj....acha bwana wanajua kukudatisha mpaka njia ya uzima huioni wee u aona kale katundu tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…