King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Nayakumbuka sana juu ya mtoto wao Late patrick.Jina tuu mbona hilo kulibadili ni dakika mbilli tuu.
Haya yale ya Muna Love unayakumbuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayakumbuka sana juu ya mtoto wao Late patrick.Jina tuu mbona hilo kulibadili ni dakika mbilli tuu.
Haya yale ya Muna Love unayakumbuka?
kile kisa nacho kilikua hatari, hawa wanawake ndio wanatufanya tufe mapema sana
Hela ninazo tayari, niambie tena nitafute nini kingineTafuta hela babu achana na familia za watu..
Si kwa ubaya ila kuna baadhi ya wanaume wanapenda umbea jamani[emoji23][emoji23].
Ukisoma kitabu cha Bill Clinton "My Life", Bill Clinton kaandika kwamba baba yake mzazi aliitwa Blythe.Habar wanajf,
Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwan huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu
Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange
Haya yote yanaweza kuwa sawa lakini kwanini Diamond anaitwa Naseeb Abdul na siyo Salim Naseeb Nyange? Hivi inawezekana baba mlezi kupewa hadhi ya ubin wa mtoto au ndio mama Diamond anataka amalize mchezo?
Na kama ni kweli Mzee Abdul sio baba yake Diamond huenda mama Diamond alikataliwa hii mimba na mzee Salim Nyange akaamua kumtupia zigo mzee Abdul na bila shaka mzee alikubali kiroho safi ila huenda alikuwa anaambiwa mengi na ndugu pamoja na rafiki
Apa hii story sioni kama ina utofauti na story iliyopo kwenye mziki wa Stamina na Profesa Jay maana namuona Diamond anamlaumu Mzee Abdul kwa kutokumlea ilihali Mzee Abdul alijua Diamond siyo mwanae na bado akaendelea kuwa baba kwa uwezo wake
Ila sijaamini kama Mzee Abdul sio baba yake mzazi Diamond sababu sio rahisi mtoto alelewe na baba wa kambo mpaka abadilishe jina la ubin wake pia na kuwapa mpaka watoto zake jina la babu yao feki walitumia kama babu yao
Hizi ni faulo zinataka kuchezeka hapa Mama Diamond anataka kumaliza mechi.
Kwani nadanganya braza....ilibaki kidogo tuu nitangaze nia ila ukishakuwa baharia kutulia na moja haiwezekani.Sema ukweli? 😂😂😂
Kwahiyo tuseme tu kuwa Diamond karithi uhuni na machepele kama mama yake, kazi kweli kweli
Wee hayo machungu utayakumbuka wapi wakati single maza anakupa bj alafu anakwambia bbby cummm in my mouth...lazima udate.Sikupingi lakini mwisho wake ni mchungu mno.
Zingatia sio wote
Nayakumbuka sana juu ya mtoto wao Late patrick.
Wee hayo machungu utayakumbuka wapi wakati single maza anakupa bj alafu anakwambia bbby cummm in my mouth...lazima udate.
Mkuu nimekwama kidogo, tafadhali niazime jiwe 3 narudisha mwisho wa mwezi.Hela ninazo tayari, niambie tena nitafute nini kingine
watanzania wanapenda ubuyu..ndo maana magu alitaka zima socho midia ah ahHii Familia ina matatizo makubwa,. Wanapenda sana kuongelewa mitandaoni,.
Dudu la Yuyu hata malezi hakutoa yeye ilikuwa ni mikasi tu 🙄Maana ya baba ni malezi
Na sio Mzazi
Hata wodini hakuna wodi ya wazazi (baba).
Bali baba ni kwa malezi yupo sahihi mondi.
Kwani uongo braza asali ndio anaiweka mdomoni huku anakupa bj....acha bwana wanajua kukudatisha mpaka njia ya uzima huioni wee u aona kale katundu tuu.Mithali 5: 3- 6
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili. Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
na wewe ngoja waje watu waseme mama yako malaya. Wewe hapo ulipo umegonga wanawake wangapi mpaka sasa?Basi inaonekana bi sandra "kakitembeza" sana enzi za ujana wake....hii familia bana mama malaya, baba malaya, watoto malaya