Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Habar wanajf,


Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwan huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu

Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange

Haya yote yanaweza kuwa sawa lakini kwanini Diamond anaitwa Naseeb Abdul na siyo Salim Naseeb Nyange? Hivi inawezekana baba mlezi kupewa hadhi ya ubin wa mtoto au ndio mama Diamond anataka amalize mchezo?

Na kama ni kweli Mzee Abdul sio baba yake Diamond huenda mama Diamond alikataliwa hii mimba na mzee Salim Nyange akaamua kumtupia zigo mzee Abdul na bila shaka mzee alikubali kiroho safi ila huenda alikuwa anaambiwa mengi na ndugu pamoja na rafiki

Apa hii story sioni kama ina utofauti na story iliyopo kwenye mziki wa Stamina na Profesa Jay maana namuona Diamond anamlaumu Mzee Abdul kwa kutokumlea ilihali Mzee Abdul alijua Diamond siyo mwanae na bado akaendelea kuwa baba kwa uwezo wake

Ila sijaamini kama Mzee Abdul sio baba yake mzazi Diamond sababu sio rahisi mtoto alelewe na baba wa kambo mpaka abadilishe jina la ubin wake pia na kuwapa mpaka watoto zake jina la babu yao feki walitumia kama babu yao

Hizi ni faulo zinataka kuchezeka hapa Mama Diamond anataka kumaliza mechi.
Ukisoma kitabu cha Bill Clinton "My Life", Bill Clinton kaandika kwamba baba yake mzazi aliitwa Blythe.

Hilo jina la Clinton alichukua jina la baba mlezi.

Si ajabu mtoto kuchukua jina la baba mlezi.
 
Wee hayo machungu utayakumbuka wapi wakati single maza anakupa bj alafu anakwambia bbby cummm in my mouth...lazima udate.

Mithali 5: 3- 6
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili. Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
 
Huyu mzee mnamuandama sana wakati yeye yupo kimya. Kwanini?

Mwacheni aendeshe maisha yake kwakuwa amekuwepo kabla ya huyo Diamond pamoja na mama Diamond.

Mnakuwaje kama inzi na mbu kazi kusumbuasumbua waliotulia?
 
Maana ya baba ni malezi


Na sio Mzazi


Hata wodini hakuna wodi ya wazazi (baba).

Bali baba ni kwa malezi yupo sahihi mondi.
Dudu la Yuyu hata malezi hakutoa yeye ilikuwa ni mikasi tu 🙄
 
Mithali 5: 3- 6
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili. Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu; Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
Kwani uongo braza asali ndio anaiweka mdomoni huku anakupa bj....acha bwana wanajua kukudatisha mpaka njia ya uzima huioni wee u aona kale katundu tuu.
 
Back
Top Bottom