Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Umetumia nguvu kubwa sana.
 
Nakubaliana na ww kwa asilimia kadhaa
 
Kabisa
 
So mallya ni wawap
 
Kuna baadhi ya mambo unatakiwa kwenda nayo kaburini, si kila kitu kinatakiwa kufahamika na wengine.
 
Mkono mtupu haulambwi, akifariki fukara hali huwa shwari sasa tajiri weeeee anaweza pekuliwa hata maiti
😂😂😂😂😂😂😂hukute Na wao wanamgombania huyo huyo, mtoto mwenye Mali?
 

Bitozi NYANGEEMA anataka ajiite TUPAKI , Diana NYANGE .


NYANGE sio Wapare wala wachaga Mkuu.
 
Mwanaume tafuta hela kukusaidia utakapokuwa huna uwezo wa kufanya kazi basi
 
Mukipata faida ktk hizi drama zao naomba na mm musinasahau .Ndugu zangu kuweni na AKILIIIII hawa yao yanawaendea haya ndio maisha yao ya kushughilisha watu ili wao wapate faida .Je weye unafaidika na nini ikiwa ni mtoto wake au c mtoto wake akiwa mwana waharamu au si mwanaharamu una faidika nini .Watanzinia wamekuwa Majahil.
 
Yawezekana huko kwa wazazi wake kuna msimamo wake si lazima kuweka uswazi, kawaachia ligi wazazi wake, maana wakati wanamtafuta yeye hakuwepo zilikuwa starehe zao


Lakini yeye ndiye muhusika mkuu, kama ni move yeye ndiye "starring".

Atakaaje kimya akiacha chungu kikitokota!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…