Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Kwahiyo kila Huster mjini anatoka Kaskazini. Yaani unajielezea mwenyewe na kujijibu mwenyewe. Study yako haina mashiko.

Mzazi halali wa Daimond ni Abdul. Kinachofanyika ni Visasi. Na kama wanadhani game imeisha, wanajidanganya, game ndio mbichi kabisa.

Hata Daimond anajua wazi mzazi wake ni nani. Mzee salimu Nyange ambaye sio mchaga wala mpare wala hana kinasaba chochote cha kaskazini ni masikini mmoja ambae asili yake ni Mpogolo aliyechanganya na walugulu. Maskini huyu alikufa mwaka 2004.

Muulize Momo kama anandugu yoyote huko upareni au moshi. Au kama alishawahi hata kufika Moshi Hata siku moja. Ni mpogolo safi wa Mbagala na wala hana undugu wowote na Daimond. Kwani Momo si nae ananjaa tu , unadhani Dai angekuwa muuza mitumba huyo MoMo wala usingemjua.

Kwa hadhi ya Dai sasa kila mtu atakuwa ndugu. Na ukoo wa Dai ni masikini sana ndio maana hizi fujo zote. Huyo Bi Sandra anatiana na kina Ommy Dimpose , na kwa taarifa tu watu wataachia picha zake za ngono zaidi ya ile ya Gwajima. Mama alishalaaniwa way back. Ila watoto wa mjini wanadai Mama mnato, Mtamu hatari , yaani ukikaa nae ndani lazima upige , wanasema anazeeka sura tu, huko chini ni very young . Hakika hii dunia sote tutaenda motoni lol [emoji38]

Mnasema Momo anafanana sauti na dai, ndio nini sasa, hata Konde Boy anafanana sauti na dai snaa tu. Study zenu ni za kipumbavu na Stipulation zisizo na kichwa wala miguu.

Yaani mnajiuliza wenyewe kisha mnajijibu wenyewe ... Halafu mnaweka hapa kama ndio FACTS. Sawa na yule Mtu anafanya madhambi kisha anaamka usiku kujiongelesha mwenyewe kwa maneno ya kuomba msamaha, Halafu Asubuhi anatuambia mungu kamsamehe .

Ujiongeleshe mwenyewe then useme mungu kakusamehe ... Ni Uchizi kwa kuwa umejijibu mwenyewe. Hakuna mahali Mungu atakujibu kuwa you are forgiven, never.

So acheni Fantasy na mlichukulie hili kama ni visasi vyao na upuuzi wao.

Always Abdul atabaki kuwa Baba halali wa Dai hata wakimkataa, hiyo imeshaandikwa and Daimond can not change that truth hata kama akitaka kubadili ukweli, HAWATOWEZA.

Diamond will always remain and known as Naseeb Abdul Juma! No Matter What!

Na huyu ndio Baba Halali wa Daimond alietia mbegu Kwenye uke wa Sandra!

Ugomvi wa Abdul na Sandra, haumuhusu Daimond kama ilivyo ugomvi wa Zari na Daimond haumuhusu Nillan.

Kwa Daimond Sandra ni mama , kwa Abdul Sandra ni Mke au dem , so maugomvi ya mahusiano hayaepukiki, hasa mtoto mmoja anapopewa neema.

Wazazi watagombana, ndugu watagombana.

Dai akifa leo Momo atajifanya anamjua Dai, Zari anatasema huyu ni mume wangu , Sandra atasema huyu ni my son, Abdul atasema this is my son.

So guys take a break !
Umetumia nguvu kubwa sana.
 
Nyange sio MCHAGA wala MPARE bali
MGWENO!
Wagweno ni intermidiate ya wapare na Wachaga yani ni mchanganyiko wa Wapare na Wachaga likazaliwa kabila liitwalo Ugweno linalopatikana Milima ya Ugweno wilaya ya Mwanga mkoa wa Kilimanjaro!
Tabia za Wagweno zinafanana na Wachaga zaidi kuliko Wapare.
Mila za Kigweno ni mchanganyiko wa Za kipare na za Kichaga kama vile
1, Kuweka vichwa vya wakuu ktk misitu ya familia
2, Kucheza ngoma kama za kipare Mjungu nk
3, Kilimo cha migomba na ufugaji wa ndani
Lugha ya kigweno kwa 90% inafanana na Kimachame na 10% kipare.
Wagweno ni Huslers kama walivyo wachaga na wameenea nchi nzima.

Diamond ni hustler sana hii ni picha tosha yakuwa anatoka kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na ww kwa asilimia kadhaa
 
Muda utaongea lakini huyu baba kama hatopata watu wakumshauri vizuri ataumwa kwa sababu ya msongo..........maana najua apati usingizi kabisa kwa jinsi alivyo dhalilishwa aiseee
Unajua kuna wanawake walikuwa malaya sana lakini walipofikwa na uzee walibadilika lakini ni tofauti sana kwa huyu mama Diamond,
Kabisa
 
Kwa nijuavyo... Nyange ni ukoo wa kichagga kiasili. Ila nijuavyo wako wachagga kibao wamehamia na kulowea maeneo ya Morogoro, Handeni etc wakawa kama wazawa huko na serikali ndo iliwagawia.

Pia wako wazee enzi hizo kwenye koo ikatokea ugomvi basi mmoja anahama mazima na familia yake na kwenda mbali kabisa kuepuka ugomvi. Ni sawa na usikie Mallya ni mmachame. Haiwezekaniki. Kwetu kuna wazee walihama miaka hiyo kwa mambo ya ugomvi wengine umasaini huko wengine wakahamia marangu. Watu wanawaregard kama ndo kwao kumbe ni wahamiaji. Mfano mzuri ni hawa alina Ngorika. Wale ni wachagga wa Old Moshi ukoo wa Temba lakini fursa ikawahamishia kisangara kila mtu anaamini ni wapare na wakati sivyo. Hivyo sishangai kabisa.
So mallya ni wawap
 
Kuna baadhi ya mambo unatakiwa kwenda nayo kaburini, si kila kitu kinatakiwa kufahamika na wengine.
 
Mkono mtupu haulambwi, akifariki fukara hali huwa shwari sasa tajiri weeeee anaweza pekuliwa hata maiti
😂😂😂😂😂😂😂hukute Na wao wanamgombania huyo huyo, mtoto mwenye Mali?
 
Wakuu kumekucha.

Mama Diamond amepindua meza kibabe na rasmi sasa Diamond ni Mchaga au Mpare kutokana na jina la ukoo wake.

Nyange (jina hili lipo zaidi kwa Wachagga lakini linatumika hata kwa Wapare. Kwa Wachagga ni ukoo ambapo kwa Wapare ni jina tu la kawaida),

Haya sasa wachagga na wapare mkuje huku

Jokajeusi

Bitozi NYANGEEMA anataka ajiite TUPAKI , Diana NYANGE .


NYANGE sio Wapare wala wachaga Mkuu.
 
Mwanaume tafuta hela kukusaidia utakapokuwa huna uwezo wa kufanya kazi basi
 
Habar wanaJF,

Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu.

Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange.

Haya yote yanaweza kuwa sawa lakini kwanini Diamond anaitwa Naseeb Abdul na siyo Salim Naseeb Nyange? Hivi inawezekana baba mlezi kupewa hadhi ya ubin wa mtoto au ndio mama Diamond anataka amalize mchezo?

Na kama ni kweli Mzee Abdul sio baba yake Diamond huenda mama Diamond alikataliwa hii mimba na mzee Salim Nyange akaamua kumtupia zigo mzee Abdul na bila shaka mzee alikubali kiroho safi ila huenda alikuwa anaambiwa mengi na ndugu pamoja na rafiki.

Apa hii story sioni kama ina utofauti na story iliyopo kwenye mziki wa Stamina na Profesa Jay maana namuona Diamond anamlaumu Mzee Abdul kwa kutokumlea ilihali Mzee Abdul alijua Diamond siyo mwanae na bado akaendelea kuwa baba kwa uwezo wake.

Ila sijaamini kama Mzee Abdul sio baba yake mzazi Diamond sababu sio rahisi mtoto alelewe na baba wa kambo mpaka abadilishe jina la ubin wake pia na kuwapa mpaka watoto zake jina la babu yao feki walitumia kama babu yao.

Hizi ni faulo zinataka kuchezeka hapa Mama Diamond anataka kumaliza mechi.


======

Maneno ya Mama Diamond

Mama mzazi wa Diamond Platnumz akijibu kuhusu swali la Dida ambaye ni Mtangazaji wa Wasafi FM, ambaye aliuliza kuhusu uhusiano wa Diamond na Ricardo Momo, mama huyo amejibu kwa kuuliza ''Diamond na Ricardo mnawaonaje?, ambapo Dida alisema wanafanana.

Mama Diamond akaendelea kusema kuwa Baba mzazi wa Diamond anaitwa Salum Idd Nyange huku akidai kuwa Mzee Abdul ni baba mlezi wa Diamond kwani wakati wanaingia kwenye mahusiano alimwambia kuwa kuwa ana ujauzito na Mzee Abdul kusema kuwa ahusiki.

Mama huyo amedai kwamba mzee Abdul alimkataa Diamond tokea mimba na hakuwahi kuwa na mchango wowote kwa Diamond kuanzia vidudu mpaka Sekondari.

Mama Diamond amekuwa akimwambia mzee Abdul kwamba bora ungemkubali Diamond tokea mdogo sasa hivi ungekuwa na mtoto, na ndicho amekuwa akimwambia siku zote.


Baba Diamond atoa neno

Adai kuwa amesema mbele ya watanzania wote kuwa kuanzia wakati huo hamtambui tena Diamond kama mtoto wake kwa kuwa imeshatamkwa kuwa yeye si baba wa mtoto.

Na alipoulizwa kuhusu kupima vinasaba (DNA) ili kuipambania haki ya uzazi kwa Diamond alijibu kuwa mtoto hagombaniwi kama ilivyo mpaka wa nyumba haugombaniwi.


Mzee Abdul Amtaka Diamond Aache Kutumia Jina Lake​

"Mtoto hagombaniwi… Mimi nimekubali siwezi nikapinga, atakancel jina langu, ataenda kuoneshwa kaburi la baba yake basi inatosha," alisema Mzee Abdul

By Jackline Mgeni 15 Jan, 2021 0
Mzee Abdul ambaye awali alikuwa anafahamika kama Baba yake mzazi Diamond amemtaka msanii huyo aache kutumia jina lake (Nasib Abdul) kwani sasa sio familia moja tena.

Suala hilo linakuja baada ya Sanura Kassim maarufu Mama Dangote ambaye ni mama mzazi wa msanii wa kizazi kipya, Diamond Platnumz kuweka wazi kuwa baba halisi wa Diamond si Abdul Juma bali ni Salum Iddi Nyange ambaye pia ni baba mzazi wa Ricardo Momo, Meneja wake msanii Lavalava.
Abdul Juma amekuwa kwa miaka mingi akifahamika kama baba wa msanii huyo wa Bongofleva.

Mama Dangote ameeleza hayo leo Ijumaa Januari 15, 2021 baada ya kupigiwa simu na Dida, mtangazaji wa kipindi cha Mashamsham kinachorushwa na redio ya Wasafi kueleza kuhusu uhusiano kati ya Diamond na Ricardo Momo aliyekuwa akihojiwa na redio hiyo.

Katika majibu yake, mama Dangote amesema Ricardo na Diamond ni ndugu na baba yao ni Nyange ambaye kwa sasa ni marehemu.
Akizungumza na Simulizi na Sauti baada ya kumalizika kwa mahojiano hayo, Mzee Abdul amesema amefurahi kusikia jambo hilo akidai kuwa sasa atakuwa huru kwani sasa anajua nafasi yake ndani ya familia hiyo.


“Kama muhusika akishakwambia hauhusiki basi mi naamini hamna haja ya kujiforce…mtoto hagombaniwi…mimi nimekubali siwezi nikapinga, atakancel jina langu, ataenda kuoneshwa kaburi la baba yake basi inatosha” Mzee Abdul akijibu swali la mtangazaji lilimtaka ajibu kama amekubali suala hilo kwasababu alikuwa hasaidiwi kama anavyodai ama kwa sababu ni kweli kwamba mtoto huyo siyo wa kwake.

“Nadhani mhusika ameshazungumza sawasawa kabisa,” amesema Abdul na alipoulizwa kama alikuwa anafahamu suala hilo alijibu, “hapana” Amesema kuanzia leo amekubali kuwa Diamond si mwanaye na kuongeza kuwa huenda ndio sababu msanii huyo alikuwa hanitimizii mahitaji yangu, “nashukuru sasa kwa kulijua suala hilo kwa undani na nampa big up sana kwa kuliongea hilo” aliongeza.
View attachment 1678472
Mukipata faida ktk hizi drama zao naomba na mm musinasahau .Ndugu zangu kuweni na AKILIIIII hawa yao yanawaendea haya ndio maisha yao ya kushughilisha watu ili wao wapate faida .Je weye unafaidika na nini ikiwa ni mtoto wake au c mtoto wake akiwa mwana waharamu au si mwanaharamu una faidika nini .Watanzinia wamekuwa Majahil.
 
Yawezekana huko kwa wazazi wake kuna msimamo wake si lazima kuweka uswazi, kawaachia ligi wazazi wake, maana wakati wanamtafuta yeye hakuwepo zilikuwa starehe zao


Lakini yeye ndiye muhusika mkuu, kama ni move yeye ndiye "starring".

Atakaaje kimya akiacha chungu kikitokota!!?
 
Back
Top Bottom