Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mzee alijibu kwa busara Sana, maneno mazito Sana Yale.
 
Just imagine wabeba mimba wengi hawajui ni ya nani. Siku moja wanaume hata watatu wanachovya humo humo. Mimba ampe nani? Juma kawa naye asubuhi. Jioni yupo na John.

Upo sahihi. Chance ya mwanaume kuwa baba ni kuchovya multiple times with multiple partners!
 

Huyo mama alikua changu kweli anajiuza na anauza gays hela wanagawana
 
Kumbe hata Queen na mwenyewe alitelekezwa na Mzee Abdul?!

Queen upande wa mama yake walikua wanajiweza kidogo tofauti na mama diamond , Darren walk Kua wana nyumba kariakoo za kutosha round about ya shule ya Uhuru kariakoo ndio maana aliishi kidoni
Walipangisha frem baadhi zikauzwa
 
Kumbe hata Queen na mwenyewe alitelekezwa na Mzee Abdul?!

Queen upande wa mama yake walikua wanajiweza kidogo tofauti na mama diamond , Darren walk Kua wana nyumba kariakoo za kutosha round about ya shule ya Uhuru kariakoo ndio maana aliishi kidoni
esma hii ni ndoa ya tatu , natamani serikali imfatilie diamond na ubebaji drugs (punda)wake maana wasimnyooshe msizwa kidole wakati
na wao ndio biashara Yao

tena Diamond Anabeba na kutumia siku hizi, wakajifanya kumuomba makonda awe Mlezi wao ili awalinde siku ya wakikamatwa
 
Hivi mama yke qn alirudi toka hlland

Ova
 
Huyo mama alikua changu kweli anajiuza na anauza gays hela wanagawana
Kuna dada mmoja anaitwa pikcook alikuwa na saloon!kinondoni mitaa ya brzl mbn huyu mama alikuwa anakuja sana kfanya kz za kfua nguo
Huyu mama kaishi thg life sana...ile ksema watu
Ovyo wkt hajui yy kama watu wana mjua na mabalaa yke zamani aliyokuwa anafanya
Wanamuangalia tu...
Sema tu pesa ilikosea njia

Ova
 
Kwa kweli imenisikitisha msanii ambae amekuwa mstari wa mbele katika kukuza wasanii na kulitangaza jina, leo hii amefunikwa na kadhia chafu sana, inayomuweka katika kundi la watoto chokoraa, na zaidi kama wanatafuta kiki basi mpira umepasuka.

Kwanini wakuu wa nchi hawaingilii kati na kulizima? Sasa ni aibu ilioje mitandaoni ni aibu kwa Watanzania na siasa zetu za mwendo kasi, utamaduni gani huu?
 
Wakuu wa nchi waingilie kati? Are you kidding?

Anawezaje kuitafuta heshima pale ambapo hakuihifadhi? Na kama hakuiweka popote vivyo hivyo hawezi kuipata. Kile ambacho hakukitoa maishani hawezi kukipata kwa sababu hapa duniani yeye ndiye msanifu na mbomoaji.

Kama anakosa kuheshimiwa, ni kwa sababu hakupata kujiheshimu. Mambo yote haya ni lazima yaanze ndani kwake mwenyewe kisha yaende kwenye maisha ya wengine. Kwa kuwa amekosa kujipa thamani yake mwenyewe na kujiheshimu, na hivyo ni vigumu kuipata toka kwa wengine.

Apambane na hali yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…