Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Maana ya baba ni malezi


Na sio Mzazi


Hata wodini hakuna wodi ya wazazi (baba).

Bali baba ni kwa malezi yupo sahihi mondi.
Mpaka hapo ushanizingua kwa nini tukiwapachikaga mimba mnaulizwa mimba ni ya nani kama sisi sio wazazi mtoto siku zote ni wa mwanaume
 
Basi sawa tunaanzisha mchakato wa kuzungusha bakuli kumchangia baba feki wa Diamond pesa ya kumlipia bima ya afya atibiwe miguu imeanza kuoza.
Wazee wetu wengi tuu hawana bima wala hakuna anayewapa goodtime ila hakuna anayekumbuka kuwachangia sababu hawana umaarufu.

Sasa wewe Daudi toa pesa kwa Mzee Abdul apate bims wakati baba yetu kubwa pale kijijini hana bima wala pesa ya kipimo cha malaria😎
 
Mzee Abdul amesha ongea juu ya ili swala kasema kua inawezekana vip aukatae ujauzito wakat yeye ndie alie simamia mpaka Diamond anazaliwa Amana na pia aliuza dek yake ili apate hela ya kulipa den hospital pia anasema yeye na mama diamond wamegombana Diamond akiwa form 1 na pia kasema Mama diamond kajichanganya kusema alienda na mimba wakat kabla ya mimba ya Diamond Kuna mimba moja waliitoa then ndio mama Diamond akapata mimba ya mond so swal ni je kipind mama diamond anakaa na mzee ndio wakat alipata mimba io unamaanisha kua Kama ni kwel mzee abdul sio Baba yake mond bas mama mond alikua anachepuka akiwa kwa mzee abdul na baba mond original
 
Mambo kama yale yule mama ilibidi aonge na familia lkn yeye kaenda kuongea kwenye media
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu utandale bado uko kichwan mwake

Ova
 
Tubinti twa kigoma ogopa sana mwanawane, mnasema wangoni ni malaya naona kigoma lbd ikihamishiwa burundi😁, hako kasandra si unaona sasa, n kahuni balaaa🤣
 
Ukisoma kitabu cha Bill Clinton "My Life", Bill Clinton kaandika kwamba baba yake mzazi aliitwa Blythe.

Hilo jina la Clinton alichukuq jina la baba mlezi.

Si ajabu mtoto kuchukua jina la baba mlezi.
Yap niliwahi soma hio sehemu alisema alichukua Hilo jina ili mdogo wake aliezaliwa na babake wa kambo ajihisi tofauti maana alikuwa anampenda Sana
 
Tubinti twa kigoma ogopa sana mwanawane, mnasema wangoni ni malaya naona kigoma lbd ikihamishiwa burundi[emoji16], hako kasandra si unaona sasa, n kahuni balaaa[emoji1787]
Ukichubguza background ya huyo mama inaelekea ilikuwa balaa
Sasa ndy kakamata mpunga ndy usiseme

Ova
 
Oooh sijaiangalia hiyo interview. So mtoto walimlea pamoja, ila matatizo yalianza baada ya wao kutengana; so hadi Diamond anafika form 1 mzee Abdul ndiye aliyemlea

 
Awe mlevi mara ya ngapi?
 
Duh hatari.

Japo Hayatuhusu lakini mzee mondi angeenda kupima DNA na baba yake.

Au angemsaidia tu kama mume wa zamani wa mama yake.

Kama anasaidia maskini asiowajua basi nadhani ni jambo linawezekana akamsaidia anayemjua(ex wa mamake)
Unaamini hajafanya hivyo?
 
Kuna kipande cha kuikamilisha hii story anacho Mama Dangote,sisi wengine tutabaki kuhisihisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…