Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Wanawake tunapitia mengi sana dah. Kumbe ndio maana mzee Abdul hakuona shida kugoma kusomesha diamond na kumtelekeza...

Ndio maana Diamond hajawahi kuwatambulisha watoto wake kwa Mzee Abdul maskini

Mzee Abdul uligoma hudumia mtoto kwa chochote sasa umekosa mtoto




Diamond, Kaka yake na Marehemu baba yao. Mzee alikua na damu Kali sana Yaani huulizi[emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1678244
Tena ni mluguru
 
Formally stated, Newton's third law is: For every action, there is an equal and opposite reaction. The statement means that in every interaction, there is a pair of forces acting on the two interacting objects. The size of the forces on the first object equals the size of the force on the second object.

Mama kwa kusema hivi anajua hata image yake yeye mwenyewe inaharibika
.
 
Huyu mama ni mkosi!! Na huenda alikuwa "changu"!

Sasa anaemwita baba mlezi ndie anaelalamikiwa kuwa alimtelekeza Dimond akiwa mtoto, na hastahili chochote...
Huyu anaedaiwa kuwa baba mzazi ambaye inaonekana ndie haswaa alikimbia kabisa majukumu, si ndio atatukanwa matusi ya nguoni!

Mungu hawezi kukupa kila kitu, atakupa pesa na umaarufu...atakunyima mama mwenye akili!
 
Nikiwatazama bado naona, Nasibu anafanana na Abdul kuliko Salum

Inawezekana baba mzazi mwenye mashaka alinyang'anywa mtoto baada ya kuonesha mashaka na kugoma kutoa huduma
 
Back
Top Bottom