Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na amesema waache kutumia jina lake atawapeleka mahakamaniYaan wamemtumia wee saiv wanamuona hana maana ila najiuliza kama sio baba yake kwann anatumia jina lake badala ya huyo mzee wake anayemuona wa maana
Niliangalia interview ya Mwana FA na Salama Jabir, alikua kwa shida sana ana haki ya kumdiss dingi yake.Sana huyu yeye angekula buyu kama mzee wake Mwana Fa.
Mzee wake Mwana Fa kuna picha yake kapiga,yupo bar anakula nyagi alafu anaonekana hana time kabisa yani na yeye mwenyewe alivyo hojiwa wala hajutii.
Scars binadamu hawatabiriki lolUmeona point ya kutooa hapo inavyopata nguvu?
Wabongo hatuishiwi! Miaka nenda rudi mmewachokonoa kwamba hamsaidiii babake lakini wakaamua kupiga kimya! Leo limewafika kooni na kuwaambia huyo mtu sio babake, "oh, familia ina vibweka"!! Sasa tunataka nini!!!Haya sasa
Kumekucha.
Hii familia ina vibweka Sana.
Sijui kama ataweza kuhimili hili 🙌🙌🙌🙌Dah! huyu mzee namuonea huruma.
Wanaume wenzangu tupambane.
Jina sio issue, muhimu ni ukweli au uongo wa taarifa yenyewe! Kama habari ni za kweli basi inawezekana Mzee Abdul alisakiziwa uja uzito lakini mwenyewe alipokuja kushituka, ndo maana akasepa mazima!!Mtu wa kuondoa utata ni mama D,kuna gap hapa hili jina la Abdul alilipata vipi,je huyo mzee Nyage mpaka anavuta alikuwa anajua Nasibu mwanae.???????????????
Acha kabisa...wee ukitaka kujia wanayajua mambo...pamoja na nyuzi za kutukataza wanaume kuoa single maza lakini watu wanazama tuu kwa hao warembo....sasa wee ulishabwagwa unadhani utaleta ujinga ukipata mwanaume mwengine...hapo lazima ufanye ufundi wote.Weee usiniambie
Niliangalia interview ya Mwana FA na Salama Jabir, alikua kwa shida sana ana haki ya kumdiss dingi yake.
kuna familia hazina akili kabisa imagne mama anaolewa na uzee wote huo afu haishi skendo alikuwa mdangaji naonaFamilia ya kiswahili.
Kama kasepa sasa karudi kufanya nini?Si angeendelea na maisha yake.Jina sio issue, muhimu ni ukweli au uongo wa taarifa yenyewe! Kama habari ni za kweli basi inawezekana Mzee Abdul alisakiziwa uja uzito lakini mwenyewe alipokuja kushituka, ndo maana akasepa mazima!!
Mzee Nyange alikataa mimba, mzee Abdul nae akakataa mimba lakini akaendelea kujivinjari na mama Diamond.Mtu wa kuondoa utata ni mama D,kuna gap hapa hili jina la Abdul alilipata vipi,je huyo mzee Nyage mpaka anavuta alikuwa anajua Nasibu mwanae.???????????????
Mzee Abdul kapanick sana.Jina sio issue, muhimu ni ukweli au uongo wa taarifa yenyewe! Kama habari ni za kweli basi inawezekana Mzee Abdul alisakiziwa uja uzito lakini mwenyewe alipokuja kushituka, ndo maana akasepa mazima!!
Tafsiri rahisi ni kuwa leo hii kuna wanaume wanalea watoto ambao sio wao, huku wamama wakijua kabisa wenye watoto.Formally stated, Newton's third law is: For every action, there is an equal and opposite reaction. The statement means that in every interaction, there is a pair of forces acting on the two interacting objects. The size of the forces on the first object equals the size of the force on the second object.
Mama kwa kusema hivi anajua hata image yake yeye mwenyewe inaharibika.
HayaNdiyo uendelee sasa kubishana,maana we si unajua vizuri maisha ya mama diamond
Alisepa kama ambavyo huwa wanasepa mababa wengi, na akarudi kama ambavyo huwa wanarudi mababa wengi! Itakuwa alisepa enzi anaitwa Naseeb, akaja kurudi enzi anaitwa Diamond!! Hivi huoni hata bond ya Diamond na Queen Darleen ni kama ya ku-force tu?! I don't see any affection kutoka kwa Diamond kwenda kwa QD kama ile aliyonayo kwa Esma! Sijawahi kuona wala kusikia Diamond akiwatolea watu povu kuhusu QD lakini mara kibao tu huwa anatoa kwa ajili ya Esma!Kama kasepa sasa karudi kufanya nini?Si angeendelea na maisha yake.