mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Pambana usiwe kama AbdulMshikeni huyu
Kashalewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pambana usiwe kama AbdulMshikeni huyu
Kashalewa
Itakuwa ni zambi kunifananisha na kina Abdul sijui shamte nyange ..Pambana usiwe kama Abdul
Ninamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbua kisaikolojia.. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.
Kwamba condom ilipasuka ndio diamond akapatikana...daaah
Kwanza miaka ya 80, hata hizo condom zilikuwepo jamani?
Hivi huyo mzee unamuona mshambaPambana usiwe kama Abdul
Si kaongea ukweli wao walikuwa wanajirushaHuyu mzee abdul hajawahi kuwa mwanaume mwenye heshma, imani, mipango... kusema mara mimba walitoa, mara condom ilipasuka sio maadili, pia ni wazi alikua anapuyanga ila hukuhitaji mtoto ndio maana sasa anamdhalilisha kwamba ni mtoto aliyepatikana bila kupanga
Na amewaza kuongea yote sababu sio mwanae kweli na hana uchungu wala upendo kwake
Mzee alitoa full supporter kwa Zamaradi na kusema Star wa kwanza walimflush out tena kwa kuuza deki.Kwamba condom ilipasuka ndio diamond akapatikana...daaah
Kwanza miaka ya 80, hata hizo condom zilikuwepo jamani?
Hata kama si mwanae lakini anatumia jina lakewna aliaminishwa hivyo toka mwanzo. Huyu mzee akiamua kufungua kesi ya madai wanaweza kumlipa pesa nyingi sana. Inaelekea huyo Nyange hakuwa wana time ndiyo alitafutwa wa kubambikiwa mzigo.Huyu mzee abdul hajawahi kuwa mwanaume mwenye heshma, imani, mipango... kusema mara mimba walitoa, mara condom ilipasuka sio maadili, pia ni wazi alikua anapuyanga ila hukuhitaji mtoto ndio maana sasa anamdhalilisha kwamba ni mtoto aliyepatikana bila kupanga
Na amewaza kuongea yote sababu sio mwanae kweli na hana uchungu wala upendo kwake
Leo nimekulike.Sky Eclat huyu mzee Abdul ni wa hovyo sana. Angekua baba mwenye upendo kwa damu yake asingeongea haya maujinga yake.
Kwa hii kauli ni wazi kabisa hana upendo, hana uchungu wala haioni thamani ya huyu kijana. Zaidi alikua anatumia jina NASIBU ABDUL JUMAA kama fimbo kwa Nasib na mamake ili apate pesa huku akijua wazi mambo alishayatindinganya zamaniiiiii
Angekua mtoto wake kama anavyodai
1.asingekua kwenye medias kila siku kumuabisha; wala
2.Asingesema a stop kutumia jina lake
Wanaume wenye watoto wao wa damu wanamshanga huyu mzee na kumwona asivyojielewa
Mama Nasib ana mapungufu yake ila kwa Abdul alikosea sana kumhifadhi nyumbani kwao na hata kumsitiri kwa miaka yote ambayo mwanae amekua star. Bora angemaliza hili jambo mapema kabisa
Ila hili nalo litapita na mama Nasib ataendelea kuwa mama shujaa kwa mwanae
Yeye anasema mtoto ni wake Sandra anasema mtoto sio wake na amekua akimkumbusha Abdul siku zote kwamba ungemlea angekua wako.Hata kama si mwanae lakini anatumia jina lakewna aliaminishwa hivyo toka mwanzo. Huyu mzee akiamua kufungua kesi ya madai wanaweza kumlipa pesa nyingi sana. Inaelekea huyo Nyange hakuwa wana time ndiyo alitafutwa wa kubambikiwa mzigo.
Hii sapota Abdul ame lobby muda mrefu sana. Sasa imezua majanga.Yeye anasema mtoto ni wake Sandra anasema mtoto sio wake na amekua akimkumbusha Abdul siku zote kwamba ungemlea angekua wako.
Sandra kasema hakumlea ila alipompeleka Amana kujifungua ndio aliona ampe mtoto jina lake kama baba akijua watalea wote,,,, ila bahati mbaya Abdul hakuwahi mpa sapota hadi leo. Meaning Abdul alijua mtoto sio wake Yeye alikua na Sandra kwa starter sio majukumu
Hebu wakapime DNA sasa halafu kesi za madai zianze
Kuuza deki hiyo sehemu ya maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Full supporter anauza deki kuflush halafu anapasua mpira na kukosa cha kuuza[emoji849]
mrangi mpe full supporter Abdul akuze mtaji
Ninamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbua kisaikolojia.. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.