Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Nampa ushauri wa bure Diamond kapima DNA ujitambue wewe mwenyewe najua akilini kwako linakusumbua sn sema unajikaza tu lkn ukwel lazima unaumia hata kama mzee Abdul (Baba) haja kulewa
Mchukue Mzee ABDUL na Mama wa BABA yako ambaye Unaambia ndio BABA yk mzazi kapime DNA ili ujijue.

Angalizo lingine
Kama utakwenda kupima DNA lazima you have to set up your mind in any circumstance incase its upper both of them they are not biological father cos your mama she was freeless zone.
 
Jamii forum wambea sana.
Hayo ni maswala ya kifamilia.
Tusubiri yako
 
Pambana usiwe kama Abdul
Itakuwa ni zambi kunifananisha na kina Abdul sijui shamte nyange ..

Far than that ...
Tatizo unachukulia sana kwa upande labda jinsia wanawake mnapenda kuteteana..
Lakini ukichunguza unagundua sekeseke kalianzisha mama mondi nyange.
Hivi hata wew unakuja kuskia tu mitandaoni mzazi mwenzio kasema mtoto sio wako hujui inavyouma?
Abdul kusema ndom ilipasuka mondi ndo akatoka naona ni sawa alikuwa na jazba
 
Ninamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbua kisaikolojia.. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.

Kwamba condom ilipasuka ndio diamond akapatikana...daaah
Kwanza miaka ya 80, hata hizo condom zilikuwepo jamani?

Huyu mzee abdul hajawahi kuwa mwanaume mwenye heshma, imani, mipango... kusema mara mimba walitoa, mara condom ilipasuka sio maadili, pia ni wazi alikua anapuyanga ila hukuhitaji mtoto ndio maana sasa anamdhalilisha kwamba ni mtoto aliyepatikana bila kupanga
Na amewaza kuongea yote sababu sio mwanae kweli na hana uchungu wala upendo kwake
 
Si kaongea ukweli wao walikuwa wanajirusha
Tu maana mama naye alikuwa mdngj na mtu wa kujirusha

Ova
 
Huyu mzee abdul hajawahi kuwa mwanaume mwenye heshma, imani, mipango... kusema mara mimba walitoa, mara condom ilipasuka sio maadili, pia ni wazi alikua anapuyanga ila hukuhitaji mtoto ndio maana sasa anamdhalilisha kwamba ni mtoto aliyepatikana bila kupanga
Na amewaza kuongea yote sababu sio mwanae kweli na hana uchungu wala upendo kwake
Hata kama si mwanae lakini anatumia jina lakewna aliaminishwa hivyo toka mwanzo. Huyu mzee akiamua kufungua kesi ya madai wanaweza kumlipa pesa nyingi sana. Inaelekea huyo Nyange hakuwa wana time ndiyo alitafutwa wa kubambikiwa mzigo.
 
Sky Eclat huyu mzee Abdul ni wa hovyo sana. Angekua baba mwenye upendo kwa damu yake asingeongea haya maujinga yake.

Kwa hii kauli ni wazi kabisa hana upendo, hana uchungu wala haioni thamani ya huyu kijana. Zaidi alikua anatumia jina NASIBU ABDUL JUMAA kama fimbo kwa Nasib na mamake ili apate pesa huku akijua wazi mambo alishayatindinganya zamaniiiiii

Angekua mtoto wake kama anavyodai
1.asingekua kwenye medias kila siku kumuabisha; wala
2.Asingesema a stop kutumia jina lake
Wanaume wenye watoto wao wa damu wanamshanga huyu mzee na kumwona asivyojielewa

Mama Nasib ana mapungufu yake ila kwa Abdul alikosea sana kumhifadhi nyumbani kwao na hata kumsitiri kwa miaka yote ambayo mwanae amekua star. Bora angemaliza hili jambo mapema kabisa

Ila hili nalo litapita na mama Nasib ataendelea kuwa mama shujaa kwa mwanae
Leo nimekulike.
Mzee Abdul ni muongo, anadai issue ya Dai kuwa si wake ndio Kwanza kaisikia Kwa Sandra juzi.
Anatumia picha kama kigezo kuwa waliwahi kuwa pamoja wakati ushahidi unaonyesha alimkataa na hakuwahi kurudi nyuma kuhusiana na maamuzi yake.
Amekuwa akitumika KUMSHUSHA Daimond kwenye mahojiano na waandishi Kwa lengo la kumuharibia potelea mbali tukose wote.
Yapo mengi Ila naomba Dai amsamehe amsaidie japo naamini Mzee hataridhika.
 
Mzee alitoa full supporter kwa Zamaradi na kusema Star wa kwanza walimflush out tena kwa kuuza deki.
😂😂😂😂Full supporter anauza deki kuflush halafu anapasua mpira na kukosa cha kuuza🙄
mrangi mpe full supporter Abdul akuze mtaji
 
Moja kwa moja tutembee kwenyee mada. baada ya mama mzazi wa msanii Diamond kuutangazia Umma yakua Diamond sio mtoto halali wa Mzee Abdul Bali ni Baba mlezi, Mtoto halali wa Diamond ni mzee Nyange ipo siku Zari atakuja kuuwanika ukweli

hqdefault.jpg

Maisha yanakwenda kasi sana ipo siku Zari atakuja kuutangazia Umma yakua Nillan si mtoto halisi wa Diamond kipindi kicho hana Tena Umaarufu hana Pesa zakufanyia Jeuli atakua na Pesa zakubadili mboga tu

Simchukii Diamond, bali jicho langu la tatu limeona huko mbele ya Safari ya Diamond.

Uzi tayari comment ziwe fupifupi.....
 
Hata kama si mwanae lakini anatumia jina lakewna aliaminishwa hivyo toka mwanzo. Huyu mzee akiamua kufungua kesi ya madai wanaweza kumlipa pesa nyingi sana. Inaelekea huyo Nyange hakuwa wana time ndiyo alitafutwa wa kubambikiwa mzigo.
Yeye anasema mtoto ni wake Sandra anasema mtoto sio wake na amekua akimkumbusha Abdul siku zote kwamba ungemlea angekua wako.

Sandra kasema hakumlea ila alipompeleka Amana kujifungua ndio aliona ampe mtoto jina lake kama baba akijua watalea wote,,,, ila bahati mbaya Abdul hakuwahi mpa sapota hadi leo. Meaning Abdul alijua mtoto sio wake Yeye alikua na Sandra kwa starter sio majukumu

Hebu wakapime DNA sasa halafu kesi za madai zianze
 
Hii sapota Abdul ame lobby muda mrefu sana. Sasa imezua majanga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Full supporter anauza deki kuflush halafu anapasua mpira na kukosa cha kuuza[emoji849]
mrangi mpe full supporter Abdul akuze mtaji
Kuuza deki hiyo sehemu ya maisha
Kna watu washauza tv ili wapate nauli wasafiri nje
Kwa waliyoushi pemba street kko wanamjua vzr huyo mzee achana na stori za kusikia mtandaoni
Tafuta siku nenda pita pale mongi bara kagera
Ukapige stori naye[emoji23][emoji23][emoji23]
Issue ya support alipewa sema chuki zenu tu nyie wanawake mkipata basi mnataka kuishi kwa kukomoaa(pesa imekosea njia pale)

Ova
 
Ninamuonea huruma Diamond, hii issue itakua inamsumbua kisaikolojia.. Fikiria Star mkubwa kama yule tunaambiwa alipatikana baada ya mpira kupasuka. Fikiria watu wa level yake duniani watakua wameipokea vipi hii taarifa.

Hili limenifikirisha kidogo, hebu msaada hivi Mwaka 1988 au 1989 mwanzoni enzi za Mwinyi, Sukari Unga kwa foleni , Je Condom zilikuwepo Tanzania? Kama zilikuwepo mwamko wa matumizi kwa watu kama Mzee Abdul ulikuwaje? Maana sisi wa miaka ya tisini tuliona miaka ya 2000 ndio kampeni juu ya matumizi sahihi na ugawaji wa Condom bure ulikuja miaka ya 2006 kwenda juu kama sikosei....Hili suala la mzee Abdul kusema ndom ilipasuka daah! Discuss.
 
Back
Top Bottom