Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

Asante kwa Maswali yako mazuriz

Kiufupi ni kuwam meko kadanja kwa korona na mama najua

Pili,
Meko alikuwa anamdunda sana mother na ni lazima mama atafanya sherehe bada ya msiba.

Tatu huyu bibi samia kwa nini hataki kuvaa barakoa?

Ana miaka 61 na lijimwili lile sisi hatutaki msiba mwingine tushajichokea
Mwisho:
Dodoma ndio kitovu cha korona imeua sana na inaendelea kupiga.
Meko anajua na alikimbia
 
Pole Mama Janeth Magufuli unastahili pongezi kwa kuonyesha mfano Pandemic ya covid ipo na inaua
 
Mama anajua kila kitu ameshawapa majibu.

Taratibu ni zile zile hazijabadilika.
 
Yeye ji victim na yamkini kama mzee alikua na corona aweza kuwa nayo hivi ji mpongeze kwa kujali wengine.

Barakoa
1. 80 % ni kuwakinga wanao kuzunguka

2. 20% ni kujinga mwenyewe
 
Mimi namshangaa sana Mama Samia bado anadunda tu kwenye umati wa watu bila barakoa.
Legend embu think beyond the upumbavu, huoni hapo anashuka kwenye ndege?

Hakuna ndege utapanda bila mask iwe inaenda Mkomazi au Bombay! Labda mwenzetu una muda sana hujapanda
 
Hebu acha UPUMBAVU ni wapi wataalamu wa huu ugonjwa waliposema ukiwa unashuka kwenye ndege hutakiwi kuvaa barakoa!? 😩😩 Huyu alikuwa anashuka toka kwenye Baskeli.
Legend embu think beyond the upumbavu, huoni hapo anashuka kwenye ndege?


Hakuna ndege utapanda bila mask iwe inaenda Mkomazi au Bombay! Labda mwenzetu una muda sana hujapanda
 
Hebu acha UPUMBAVU ni wapi wataalamu wa huu ugonjwa waliposema ukiwa unashuka kwenye ndege hutakiwi kuvaa barakoa!? 😩😩 Huyu alikuwa anashuka toka kwenye Baskeli.
Naona umeshakuwa zuzu tena zuzu haswa haya endelea kutaabika na upunguani wako ukisindikizwa na ndoto zako za alfajiri.

😏
 
Kama kweli corona ipo Basi week ijayo kutakua hakusemeki.

Thou nadhani amefata recommendation ya msafiri wa ndege lazima uvae barakoa.
Ni kwako ndio itakuwa hivyo. Ulishaona mwehu anayekula jalalani anaugua corona?. Acha watanzania wainjoy maisha yao waliyozoea. Barakoa vaa wewe uliyozoea kuiba Mali za umma hadi kisukari kikakushika ,ww ndio uko kwenye risk kubwa ya kupata corona
 
akifanya mchezo anaondoka, this is sciene, hakuna mungu wa mtume.
 
Very SIMPLE.... Protocals... Wanakuja Marais kuzika.....so its like this

You either comply to the global health rules regarding the pandemic or we never come at all..



Overr
 
Maswali yako yote ni multiple choices. Majibu yake ni "NDIYO".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…