Mama January atimiza miaka 70, January Makamba amsindikiza mama yake Kanisani

Mama ni Muhaya kutoka Bunazi Mutukula Mkristo wa kanisa moja tu takatifu la mitume. January ni mtoto muislam- mkatoriki ambaye ameishi maisha ya kuama ama sababu baba yake aliku mjeda mama nesi. January kalelewa bukoba bunazi ata vita ya Kagera alikuwa bukoba anaishi na kusoma kule uku anapima gogo na lubisi pombe maalufua sana kwa watu wa mkoa wa kagera. Trust me guys kama uliwai kukoshwa na hotuba za rais Jakaya kikwete basi Muandishi ni January Makamba a very humble man and the next president to be sasa wewe mtu wa nyanjirinji jitoe ufahamu.
 
Hii nchi ngumu sana kwa hesabu za makamba jr kuingia ikulu kama zinakataa, amesha kuwa mkristo mara hii
Hakuna ugumu, uislamu wa January ulikua wa ukubwani, January kakulia na kulelewa kyaka Kagera kwa Bibi mzaa mama na alikua anaenda Sana kanisani na alibatizwa katoliki wakati huo Baba yake akiwa vitani Uganda , na kavaa Sana rozari na Wana Kagera hasa wa kyaka wanamjua kama mkatoliki ,
 
Mzee alishindwa kumshawishi huyu maza ku slim ?
 
Mapenzi yana nguvu mno;
1. Makamba mwislamu typical kaoa mkatoliki aliyekunywa maji ya bendera.
2. Mwanamuziki Werrason anayeshinda kwenye kumbi za starehe akipiga show kaoa mlokole wa ukweli na wamedumu miongo kadhaa.

Tuyaheshimu mapenzi. Ukipata mtu mkapendana hata awe single maza songeni mbele maana hakuna wa kuwazuia.
 
Kassimu Majaliwa kaoa mkatoliki hadi Leo wako pamoja na mama marry huenda kanisani kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…