Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Mama kausema ukweli wa moyo wake na wengine wanaosombwa kwenda kwenye kampeni
 
😅😅
 
Makongoro alikuwa ameshajilipua kichwani !!! Kofia oyee miwani oyee nivue na shati ha ha ha
 
Wamuache Mama Maria apumzike, hizo kampeni zao wawaachie wenye nguvu kina Makongoro.
 
Leo wamewasomba na malori kila wilaya wapeni posho na muwarudishe wasife njaa hapo mjini.
 
Mama kawaumbua ndyo maana Magu kapasuka na hasira kaanza kuzungumzia kura za watoto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…