kiparangwaya
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 528
- 502
Safi saana Mama wa Taifa kwa kufikisha ujumbe kwa hao wakoloni weusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii hawakosi na watu vile vile wamesombwa kama kawaida utadhani wakimbizi wa Burundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅Bibi kachomoa betri.Tukisema icho chama kimeshafika saa kumi na mbili watu wawe wanaelewa.wanaweza wakapakapaka mafuta waonekane wanang"aa na kukubalika ila ukweli nikwamba wamechoka.Uyu mama muda wake wakusimama kwenye majukwaa ya siasa ushapita kwa heshima yake alipaswa aachwe apumzike ila kwavile mambo yako mrama inabidi tu tulazimishe.
We mlamba viatu fungua link sikiliza rudisha akili iliyochukuliwa kwa buku7Acha kumlisha maneno mama wa watu kwa kisebengo chako
Mama yetu wa taifa mama Maria Nyerere awakana walio taka kumlisha maneno.
Kweli uzee siku zote ni dawa nimeamini.
Sikilizeni wandugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkiluvya, mimi sikuwepo musoma bali ni technology inafanya kazi.Wewe Mmawia una shida wewe si bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama yetu wa taifa mama Maria Nyerere awakana walio taka kumlisha maneno.
Kweli uzee siku zote ni dawa nimeamini.
Sikilizeni wandugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yetu wa taifa mama Maria Nyerere awakana walio taka kumlisha maneno.
Kweli uzee siku zote ni dawa nimeamini.
Sikilizeni wandugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasanii hawakosi na watu vile vile wamesombwa kama kawaida utadhani wakimbizi wa Burundi.
Sent using Jamii Forums mobile app