Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Bibi kachomoa betri.Tukisema icho chama kimeshafika saa kumi na mbili watu wawe wanaelewa.wanaweza wakapakapaka mafuta waonekane wanang"aa na kukubalika ila ukweli nikwamba wamechoka.Uyu mama muda wake wakusimama kwenye majukwaa ya siasa ushapita kwa heshima yake alipaswa aachwe apumzike ila kwavile mambo yako mrama inabidi tu tulazimishe.
😅😅
 
Makongoro alikuwa ameshajilipua kichwani !!! Kofia oyee miwani oyee nivue na shati ha ha ha
 
Wamuache Mama Maria apumzike, hizo kampeni zao wawaachie wenye nguvu kina Makongoro.
 
Leo wamewasomba na malori kila wilaya wapeni posho na muwarudishe wasife njaa hapo mjini.
 
Mama kawaumbua ndyo maana Magu kapasuka na hasira kaanza kuzungumzia kura za watoto wake.
 
Back
Top Bottom