kwa nini lakin jaman ccm mnamfanyia hiv huyu mama mtukuka katika Taifa hili? nini hicho mnakilazimisha hivo hadi kumdhalilisha huyu bibi kiasi hiki? yan mmemsiliba huyu mama mawanja kuja kumsimamisha katika kadamnasi kisa tu mnalazimisha uongozi ambao watu wameshawakataa?!!
kwa nini lakin jaman ccm mnamfanyia hiv huyu mama mtukuka katika Taifa hili? nini hicho mnakilazimisha hivo hadi kumdhalilisha huyu bibi kiasi hiki? yan mmemsiliba huyu mama mawanja kuja kumsimamisha katika kadamnasi kisa tu mnalazimisha uongozi ambao watu wameshawakataa?!!
muacheni mama apumzike nyie ma ccm..mna laana nyie..you are doomed. nimepatwa na hasira sana. huyu mama kafanya mangapi katika Taifa hili? kwa nini mnamdhalilisha?
Ahaaaaaaaaaaaaaa, CCM wamefika pabaya sana hata Nyerere amekichoka chama?! Nimempata mama kabisa ccm hawana aibu hadi kumlazimisha mama wa taifa? Kweli kazi ipo mwaka huu, tuchunge bao la mkono tu.Mama yetu wa taifa mama Maria Nyerere awakana walio taka kumlisha maneno.
Kweli uzee siku zote ni dawa nimeamini.
Sikilizeni wandugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
naye choka sana.....analeta ishu ya BOLI ZOZO gulioni!!!!!Wamuache Mama Maria apumzike, hizo kampeni zao wawaachie wenye nguvu kina Makongoro.
mwacheni mama apumzike bwana we..chaaa!!! kura ni nini jaman nyie ma ccm mbona mnakuwa kama mmelaaniwa nyie? hivi huyu mama ni wa kumsiliba milipustiki kuja kumtembeza majukwaan kwel na umri huu kweli na kumlazimisha atamke mambo hata hayajui? mna laana nyie.inawasaidie ku pick a sentence katika mazuri aliyoyasema....
lazima tulie tumeibiwa kura[emoji3]
Kwa sasa mbinu waliyo bakia nayo ni hiyo tu ya bao la mkono tu maana tayari wananchi wamesha wakataaAhaaaaaaaaaaaaaa, CCM wamefika pabaya sana hata Nyerere amekichoka chama?! Nimempata mama kabisa ccm hawana aibu hadi kumlazimisha mama wa taifa? Kweli kazi ipo mwaka huu, tuchunge bao la mkono tu.
Haya mkubwaWale siyo wasanii,ni waigizaji,usitake kuwavunjia heshima wasanii.
Mwana kulitafuta mwana kulipataMama kawaumbua ndyo maana Magu kapasuka na hasira kaanza kuzungumzia kura za watoto wake.
Kwani hayo maneno wameyasema cdm? Mbona mmevurugwa kiasi hiki na ngoma ndiyo kwanza inaanza?Na hiii kiki yenu itabumaaa tyuuuu.
Chadema bila kiki hamna kituuu
haya yanahusiana nini na kauli ya mama nyerere,mmeanza kuchanganyikiwa,mmemuona mama maria ni kichaka cha kujificha,kasema hatakiiiiiiiUpinzani ulishakufa tangu 2015 kama CCM haiku shindwa 2015 itachukua miaka mingi ya wapinzani kuungana kuiangusha CCM.hakuna chama kimojakimoja cha siasa kitaweza kuiangusha CCM.
Kwa teknolojia hii wala hatuhitaji TBC
Jamaaa aligundua fasta kwamba huenda mama ana hasira na mambo ya uteuzi. Akajikita kujitetea.Mama kawaumbua ndyo maana Magu kapasuka na hasira kaanza kuzungumzia kura za watoto wake.
Hata siku ya kupiga kura watawasomba?Leo wamewasomba na malori kila wilaya wapeni posho na muwarudishe wasife njaa hapo mjini.
CKwani hayo maneno wameyasema cdm? Mbona mmevurugwa kiasi hiki na ngoma ndiyo kwanza inaanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Chadema mko makini kusikiliza neno kwa neno kutoka kwa wana CCM. Mkiulizwa toka Kampeni za Chadema zimeanza Mgombea Mwenza wa Tundu LIssu Salum Mwalimu ameongea nini, hakuna anayeweza kusema ameongea nini! Ahahahahahh! Halafu CCM ikishinda, mnadai mmeibiwa kura! Ahahahahaahah!View attachment 1559508
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere
Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:
Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.
Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Tbc yanini tena watuletee gundu?Kwa teknolojia hii wala hatuhitaji TBC