kwa nini lakin jaman ccm mnamfanyia hiv huyu mama mtukuka katika Taifa hili? nini hicho mnakilazimisha hivo hadi kumdhalilisha huyu bibi kiasi hiki? yan mmemsiliba huyu mama mawanja kuja kumsimamisha katika kadamnasi kisa tu mnalazimisha uongozi ambao watu wameshawakataa?!!
muacheni mama apumzike nyie ma ccm..mna laana nyie..you are doomed. nimepatwa na hasira sana. huyu mama kafanya mangapi katika Taifa hili? kwa nini mnamdhalilisha?