Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

Uchaguzi 2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

kwa nini lakin jaman ccm mnamfanyia hiv huyu mama mtukuka katika Taifa hili? nini hicho mnakilazimisha hivo hadi kumdhalilisha huyu bibi kiasi hiki? yan mmemsiliba huyu mama mawanja kuja kumsimamisha katika kadamnasi kisa tu mnalazimisha uongozi ambao watu wameshawakataa?!!
muacheni mama apumzike nyie ma ccm..mna laana nyie..you are doomed. nimepatwa na hasira sana. huyu mama kafanya mangapi katika Taifa hili? kwa nini mnamdhalilisha?
 
Attachments

  • Screenshot_20200905-211224.jpg
    Screenshot_20200905-211224.jpg
    62.7 KB · Views: 1
inawasaidie ku pick a sentence katika mazuri aliyoyasema....

lazima tulie tumeibiwa kura[emoji3]
kwa nini lakin jaman ccm mnamfanyia hiv huyu mama mtukuka katika Taifa hili? nini hicho mnakilazimisha hivo hadi kumdhalilisha huyu bibi kiasi hiki? yan mmemsiliba huyu mama mawanja kuja kumsimamisha katika kadamnasi kisa tu mnalazimisha uongozi ambao watu wameshawakataa?!!
muacheni mama apumzike nyie ma ccm..mna laana nyie..you are doomed. nimepatwa na hasira sana. huyu mama kafanya mangapi katika Taifa hili? kwa nini mnamdhalilisha?
 
Mama yetu wa taifa mama Maria Nyerere awakana walio taka kumlisha maneno.

Kweli uzee siku zote ni dawa nimeamini.

Sikilizeni wandugu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaaaaaaaaaaaaa, CCM wamefika pabaya sana hata Nyerere amekichoka chama?! Nimempata mama kabisa ccm hawana aibu hadi kumlazimisha mama wa taifa? Kweli kazi ipo mwaka huu, tuchunge bao la mkono tu.
 
muacheni mama
inawasaidie ku pick a sentence katika mazuri aliyoyasema....

lazima tulie tumeibiwa kura[emoji3]
mwacheni mama apumzike bwana we..chaaa!!! kura ni nini jaman nyie ma ccm mbona mnakuwa kama mmelaaniwa nyie? hivi huyu mama ni wa kumsiliba milipustiki kuja kumtembeza majukwaan kwel na umri huu kweli na kumlazimisha atamke mambo hata hayajui? mna laana nyie.
 
Ahaaaaaaaaaaaaaa, CCM wamefika pabaya sana hata Nyerere amekichoka chama?! Nimempata mama kabisa ccm hawana aibu hadi kumlazimisha mama wa taifa? Kweli kazi ipo mwaka huu, tuchunge bao la mkono tu.
Kwa sasa mbinu waliyo bakia nayo ni hiyo tu ya bao la mkono tu maana tayari wananchi wamesha wakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani ulishakufa tangu 2015 kama CCM haiku shindwa 2015 itachukua miaka mingi ya wapinzani kuungana kuiangusha CCM.hakuna chama kimojakimoja cha siasa kitaweza kuiangusha CCM.
haya yanahusiana nini na kauli ya mama nyerere,mmeanza kuchanganyikiwa,mmemuona mama maria ni kichaka cha kujificha,kasema hatakiiiiiii
 
View attachment 1559508

"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa viongozeke kwahiyo sikuja kuzungumza chochote wao walinilazimisha kwamba nizungumze nikasema sina lakuzungumza"- Mama Maria Nyerere

Baada ya ujumbe huu mgumu unaonyesha namna watu wanavyolazimishwa kufanya wasichopenda kufanya, naamini viongozi wamekereka kwa sababu polepole katamka maneno haya:

Mama tunajua una majukumu mengi, endapo ukijisikia kuondoka ondoka upo huru Mwenyekiti amekupa baraka zote.

Huyu mama nadhani ni mara ya kwanza anasimamishwa Kwenye jukwaa la kampeni. Tusiwafanyie hivi watu Hawa waliotumika kwa heshima, waacheni wabaki na heshima yao.
View attachment 1559499View attachment 1559500View attachment 1559501View attachment 1559502
Naona Chadema mko makini kusikiliza neno kwa neno kutoka kwa wana CCM. Mkiulizwa toka Kampeni za Chadema zimeanza Mgombea Mwenza wa Tundu LIssu Salum Mwalimu ameongea nini, hakuna anayeweza kusema ameongea nini! Ahahahahahh! Halafu CCM ikishinda, mnadai mmeibiwa kura! Ahahahahaahah!
 
Back
Top Bottom