unajua mkuu ngoma ikilia sana mwisho hupasuka. yaan mama mtu mzima yule wanaenda kumzoazoa na kumbwaga majukwaan akapige makele ya kampeni kisa tu wameona wanazidiwa kete na upinzani. hivi huyu mama atawaongezea kura ngapi ma ccm ambazo zitaakisa kiwango cha udhalilishaji mnaofanyia majukwaani? yan hii ni ushahidi mzuri sana wa kimazingira kuwa ma ccm yapo tiyar kufanya chochote kile hata kama ni kutoa uhai wa mtu ili tu yashinde kura..hayajali gharama kwa watanzania...mpaka kumdhalilisha mama wa Taifa kweli?!! kisa tu kura? ndiyo maana mama kaamua inatosha, enogh is enough...kawaambia ukweli...MSIMLAZIMISHEEEEE.Mama ni jasiri kama mumewe. Kweli mkiishi pamoja muda mrefu mnafanana.
Hawa jamaa kwa madaraka tu wana uchu. Huyo mama anastahili kupumzika sasa. Wao sijui wametoa wapi - Msasani ama Butiama na kumsimamisha jukwaani! Shame on you.
Mama Maria hakupata kutoa hotuba za kisiasa hata wakati wa utawala wa mumewe. Sasa wanamsomba akamfanyie Magufuli kampeni! Hawana akili kabisa. Nadhani hawatarudia tena.
Musoma ndio ilivyo. Hakuna unafiki huko. Hata Waitara wanamchinjia mbali. Labda NEC imtangaze kwa nguvu tu.