bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Umenena hata mashimo shusho kwisha habari zao.Kwa taarifa yako kila mwenye umaarufu akienda tu kwa nabii mkuu kwisha habari yake ππ
Mc aliendaga kwa nabii mkuu kabla hajaanza huduma, sasa kikowapi!?
Msanii injili Goodluck Gozbet pia alivuma sana, ila alipokwenda kwa nabii mkuu na kupewa zawadi ya mchuma huyu kijana karudi mtaani kuvuta bangi.
Pale hemani kwa nabii mkuu sio pa kukimbilia kuomba msaada huyo jamaa huiba nyota za wenye njaa ππ
Kama pesa haipo lazm asaidiwe kuhudumiwaHapo mgogo lazima achapiwe hili lidada lizuri bwanq
Na zambi ushatenda ujueBora macho yetu Wazee hayaoni mbali....vinginevyo ningeongeza dhambi Leo [emoji12][emoji125][emoji125][emoji125]
OyooAcha tamaa
Anaonekana hazitendei haki kwakweli [emoji28]Sijui hata kama baba mchungaji anaziwezea...naona kama yuko resi...
Umeona eee...hahahahhahaAnaonekana hazitendei haki kwakweli [emoji28]
Mkuu, nina masters ya kutoa fungu la kumi. Watoe namba mengine nitamaliza, mama mchunganji anahitaji sadaka katika kipindi hiki kigumu.
Aisee sawa mkuuHapana kwa macho ya nyama tu inajidhihirisha
Ameliwa huyu na mwenye hill waterKwa wasiomfahamu huyu ndiye mama mchungaji mke wa mchungaji Mc pilipili. Mtumishi amefunguka na kusema jambo kuhusu bifu lake na baba mchungaji.
Amesema......
"Kupishana katika ndoa ni kitu cha kawaida sana, sema kuna wale ma stars wakipishana kila mtu atajua lakini kwetu watu wa rohoni huwa tunayamaliza kimya.... kimya hata mshenga hahusishwi".
Bifu lao wameshalimaliza na maisha yanasonga.
Kuhusu kanisa kumshinda baba mchungaji, mama amekazia....
"Kile alichosema baba mchungaji ndicho hicho hicho nasema na mie kwamba hatukutaniki tena kila jumapili bali huduma yetu kwa sasa ni kuhudumia watu wa mtandaoni pekee.
Mama mchungaji katika ubora wake.
View attachment 2883277View attachment 2883279View attachment 2883282
Leta umbea mkuu πAmeliwa huyu na mwenye hill water
Ndo ivyo ashapigiwa tiyari shida alikuwa anamsifu sana Dem kama nn kumbe uozo TULeta umbea mkuu π
Haiwezi kuwa dhambi maana nimefanya kusikia tu watu wakisimulia kuhusu hizo lips zake sijui zimefanya nini eti ππππNa zambi ushatenda ujue
Na nimekumiss by ze wei babu jamani
Hapana akipata upinzani ndio hujiinua zaidi.. Huwa hapendi kushindwaAna nguvu hasa pale anapokosa upinzani.
Mwenye maela yupii? Sasa VO ana pesa zipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si tumeambiwa mke ana mchepuko wake mwenye maela na mume amezaa na mwanamke mwingine nje?
Au tusubiri uhakika kutoka kwa dada wa taifa?
Yakobo 4:7 inasema.... "... Mpingeni shetani naye atawakimbia...."Huwa hapendi kushindwa
Duh!Demu mwenyewe watu wa UDOM wamepiga ee mchungaji kaona kapata mke kuna demu amesoma na hyo mke wa MC anakwambia alikuwa balaa walikuwa na kundi lao maarufu pale chuo mwenge ilikuwa hauvuki kijiji ngoja nitulie nisije nikaharibu ndoa.
Duh!Ameliwa huyu na mwenye hill water