Mama mchungaji Qute Mena anena kuhusu kutofautiana na baba mchungaji

Je kanisa halina Katibu?
Kwanini naye asihojiwe?
 
Mwenye maela yupii? Sasa VO ana pesa zipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wawaache wenye hela bhana, huyo MC nae kiwembe tyuuh.

Kanisa haliendi bila sadaka, km hawakujijenga hapo mwanzo polee yao
Si tumeambiwa anachepuka na mwenye hillwater?
 
SIO SHIDA KWA HAWA WASILIMALI WA IMANI.

SHIDA IKO KWA HAO WAUMINI WAO, WAFUASI WAO.
KUNA MCHUNGAJI MMOJA KASEMA, USIRUHUSU DINI IKUONDOLEE AKILI!
 
Humu jf nimeamini kuna watu ni washamba na hawana exposure kabisa yani eti huyo demu ni mzuri [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…