Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

Mkuu huenda labda alijua mpo huko mnagombana...
Otherwise hilo ni bomu,, ipo siku litalipuka.
 
Itakuwa bibie alipiga ukunga nakufaa, ndipo mama mkwe akaenda kuangalia kinachoendelea.
Na akamkuta Mzee baba kamkunja mwanae kama coil spring kichwa na miguu vimekutana. Hapo mzee baba usikute mama mkwe kakusitiri Sana unachomfanya mwanae hata mahari ukulipa.
 
Kazi kwelikweli. mama mkwe yeye hana mume?
 
Mgonge wee vipi, huoni kama mnamtamanisha na wewe huna interest , kwani si ana chura kama mwanaye ama?
Jamani huku ni kukufuru... Hivi ukikuta baba yako mzazi kampandia mkeo utajisikiaje? Mzazi ni mtu muhimu sana na anatakiwa kuenziwa na sii vinginevyo... Hukuwahi kusikia msemo wa waswahili mzazi ni Mungu wa Pili??? Jaribu uone, utakuwa chizi halafu tuanze kuulizana aliyekulonga!!! utaiharibu dunia yako na mbinguni huna fungu ukifanya upuuzi huu
 
Mkwe anaugwadu wa kutosha nae anataka kunata na biti
 
aagh Mama mkwe anaskilizia mwanawe akikojozwa na yeye anaenda kujichua.
 
Mkuu itakuwa Mama Mkwe alikuwa anachungulia kuhakikisha usalama tu wa Mwanae. Labda alivyosikia hizo kelele, alidhani unamchinja, ndio maana akaja mlangoni kuchungulia.
Tuwe realistic; binti yake wakati anapiga kelele wala hakua anajitambua, mwanamke akiwa kwenye climax hawezi kua na hisia kama anachunguliwa, mwanaume hali kadhalika hasa wakati wazungu/watoto wanatoka, unaweza kumuahidi mtu kumpa dunia nzima wakati uwezo huo huna, binti ni kwamba kahisi anachunguliwa wakati show imesiaha or wakati wa mapumziko so kipindi hicho mama alitakiwa kua kaondoka cause alikua kahakikisha kwamba mkwe wake ni RIJALI hasa maanake anajua kumliza binti yake. Mama ana kitu anakitaka but again naogopa sana kutoa ushauri wangu ambao nahisi utakua wa KIJINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…