Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,239
- 2,765
pole sana mkuuKweli kabisa mkuu. Hata mm ningejua haya yatatokea nisingeoa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana mkuuKweli kabisa mkuu. Hata mm ningejua haya yatatokea nisingeoa kabisa
Tena uyu miezi miwili iliopita, lazima aliona campaign. Dharau tu.Tulishasema tukatae ndoa jamani.
Kwasababu nilimpenda kweeeeli....KISHA TUIMBE NA WIMBO WA BANANA_ZORO
"Ngojangoja naonekana dhoooba!!!"
ninacho fahamu mimi familia yako ilitakiwa iwe ya kwanza na familia yenu na wazazi wako iyo ya mkeo iwe ya mwisho ila mbaka sasa naona ujiwezi kwa uyo mwanamke ndio maan imekuwa hivi (mapenzi upofu)Asante mkuu. Kusema kweli nina taabu sana nakosa la kufanya
Majuto ni mjukuu. Najuta kumjua huyu mwanamke.ninacho fahamu mimi familia yako ilitakiwa iwe ya kwanza na familia yenu na wazazi wako iyo ya mkeo iwe ya mwisho ila mbaka sasa naona ujiwezi kwa uyo mwanamke ndio maan imekuwa hivi (mapenzi upofu)
Bahari imechafuka,huu usemi.alizoea kusema baba yangu,in fact ni kweli bahari imechafuka,ukichukia uongo wa Bungeni uchanganye na ugumu wa maisha,ni kweli Hali ni Tete,usiombee anayosema.huyu.mtu yakukute,ukiona.mtu kamgeuza mkwe supu basi UJUE Hali sii shwari.Tutvunje.ukimya wanaume Hali ni mbaya.Naungia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.
Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.
Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.
Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.
Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.
Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi🙏
Uchumi unaruhusu kuongeza.uwanja wa vita toka Syria pekee na kuwa na Ukraine na Israel.Hali sio shwari Roger.Ongeza mke mwingine wawe 2 ama 3
Asubuhi na mapemaa hapa kwetu jijini mbeya naukumbuka huo mstari 😁😁😁Hebu wote tusimame na tushirikiane kuimba wimbo wa bahati bukuku,,,
Duniaaaaaa haina hurumaaaaaa
😂😂😂😂 Hahahaha,,Asubuhi na mapemaa hapa kwetu jijini mbeya naukumbuka huo mstari 😁😁😁
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.