Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

ninacho fahamu mimi familia yako ilitakiwa iwe ya kwanza na familia yenu na wazazi wako iyo ya mkeo iwe ya mwisho ila mbaka sasa naona ujiwezi kwa uyo mwanamke ndio maan imekuwa hivi (mapenzi upofu)
Majuto ni mjukuu. Najuta kumjua huyu mwanamke.
 
Bahari imechafuka,huu usemi.alizoea kusema baba yangu,in fact ni kweli bahari imechafuka,ukichukia uongo wa Bungeni uchanganye na ugumu wa maisha,ni kweli Hali ni Tete,usiombee anayosema.huyu.mtu yakukute,ukiona.mtu kamgeuza mkwe supu basi UJUE Hali sii shwari.Tutvunje.ukimya wanaume Hali ni mbaya.
 

Pole mkuu, kuna msemo unasema Life Begin at 40, now una 35, mkeo akikuchuna akawekeze kwao, kuja kurecovery tena ni bidee sana au itakuchukua muda.

Tunaoa wanawake sababu tu ya kuendeleza kizazi, lakini mwanamke ni kiumbe kibinafsi sana, na tamaa nyingi.

Mme wake anapambana alete riziki na mali nyumbani, mali inaletwa inapitilizwa kwa Mama Mkwe, mama Mkwe naye inawezekana anahonga kwa vijana wapenda mteremko.

Ina disapoint sana, Pole mkuu, Mtaji wa Milioni 7 sio mchezo ni hela ndefu.
 
Nakumbuka nilikaa na mzee flan akanisii usije kuoa mwanamke ambae amekuzwa san n single mama ambae hana hofu ya mungu ila bro pole sana unahitaji hekima kubwa kweny kujipambanua au laah uonyeshe upande wako wa pili wa shilin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…