Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

Mkuu kwa ushauri wangu chanzo cha yote haya yanayo kusibu ni mama mkwe kumwalibu binti yake kwa kumjaza sumu za ujinga na kutojieshimu ni ngumu sana mtoto kugoma kumsikiliza mzazi kuna mambo mawili hapa mkeo kukubali ushauli wa mama kulinda bland yake kwa mama yake au kukubali moyoni hila akilini mwake ajakubaliana na mambo ya mama yake
Usichukue mahamuzi ya alaka mahana watu wengi utoa majibu laisi tu kwa lengo la kukuvunja moyo utazani wao Awapati changamoto katika ndoa zipo siku zote na azikimbiwi kikubwa ni kutumia mahalifa na hekima kaha chini msilikishe baba yako na ikibidi mwitishe kikao cha pande zote mbili wala usiwaoneshe dalili kuwa ulisoma sms mbele ya kikao wabane waseme ukweli wana malengo gani juu yako au nini mipango yao juu yako mbele ya waze wenye busara na hekima ikibidi mtafte mwanashetia bora awepo wakikata kuwa awana mipango yoyote mbele ya pande zote 2 ndio uwaoneshe chatj zao adharani itakuwa funzo kwao na vizazi vyao najua watabadilika kwa wema ulio wafanyia ni zaidi ya wema mama mkwe ndio anaye toa shule ya kumpotosha mke wako mhana mtoto umleavo ndivo ukuavyo ikiwa ngumu mpe talaka kwa uzurj amjazaa bado afungashe mabegi yake aludi kwao atazamane na mama yake itakuafunzo kuliko kumtolea kauli chafu ndoa ni ya kidini na sio ya kisheria haki itatendeka unaweza nicheki kwa ushauli zaidi nkuelekeze mambo muhimu ya kufanya kulejesha amani ya ndoa yako
Asante sana kwa ushauri mkuu; nimeupokea. Wanawake ni viumbe wa ajabu sana.
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi🙏
Hii ni issue ndogo sana ni kukaa na mkeo kama mwanaume umweleze kuwa unajua kinachoendelea na umkanye umpe muda wa kubadirika labda kama analo tatizo lingine unatuficha.
 
Nikae mezani kudiscuss na nyoka? Hii haikubaliki.
 
Kweli kabisa mkuu. Kwa hayo mambo makuu niliyomtendea mke wangu na familia yake sikutarajia kama mama mkwe angenifanyia umafia kama huu.
Tuma aina ya message uliyoona... isije kuwa mama anamshauri mwanae asikae kizembe ahahakikishe anakuhimizia wewe mfanye maendeleo.. wewe ukaona ni shida. Kumbuka kuna maisha ya mbeleleni ya watoto wenu. Edit majina na namba weka hiyo message hapa tuitathmini, usije kuwa unaumia kumbe ni message ya kawaida ya kuhimiza maendeleo.
 
Ile meseji baada ya kugundua nimeisoma aliifuta mkuu
 
Labda nikuulize..statement aliyoandika mama mkwe wako ambayo wewe unasema ni kukuchuna, ilimaanisha kubenefit kutoka kwako (kifedha)au kimsaada? . Na hizo benefit zisihusu familia yako (mkeo, watoto na wewe), au zilikuwa kwa wazazi na familia ya mkeo tu?
Kama ilikuwa hivyo sawa, lakini kama ni kitu ambacho kita benefit familia yako pia, then utakuwa unakosea.
Nakupa mfano, mama anaweza kumwambia mwanae kuwa, wewe kama mama, jaribu kuwa na akiba ya pembeni ambayo itakusaidia siku mumeo akiwa hana hela, na akasisitiza kuwa akiba hii mumeo asiijue. Je utasema hii ni kuchunwa?
Maana ni kweli kuna siku unaweza kuwa huna hela, utasikiaje mkeo akatoa 4m akakuambia .. kiongozi hela hii lipia ada, nilikuwa nime save UTT.. Si unaweza muoa tena?
 
Baba mkwe hajulikani hajatajwa au kakaliwa kichwani kuna familia za kuangalia kabla ya kuoa
 
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia maisha yaende sawa.

Kabla sijamuoa huyu mwanamke tulikuwa tunapanga mambo mengi mazuri, kama kujenga, kuzaa watoto, kufungua biashara, kutengeneza family ya kiMungu, jinsi tutakavyowalea watoto wetu, tuliongea mambo mengi sana. Nilimfungulia biashara ya milioni saba mwaka jana mwezi wa pili, nyumbani kwao nilikarabati nyumba yao, nikaweka masofa ya gharama, TV. king'amuzi na radio.

Nilimjengea mama yake jiko na choo cha kisasa nikawabadilisha kabisa. Sijui nilirogwa ama vipi nilijikuta nasukumwa kufanya tu na nilijikuta nampenda sana mpenzi wangu. Tumeenda hivyo hadi mwezi wa pili mwaka huu ndipo tulifunga ndoa, tukafanya harusi kubwa tu na mimi ndio nilikuwa nagharamikia nikisaidiana na familia yangu. Sasa siku kadhaa zilizopita kupitia simu ya mke wangu nimekuja kugundua kuwa mama yake anamfundisha asiwe mzembe kunichuna.

Tena sio kumfundisha, inaonekana alishamfundisha zamani sasa anamhimiza asikae kizembe ahakikishe anavuna vitu vya kutosha, imagine!! Ni kama Mungu tu kwasababu mimi sina mazoea kushika simu ya mke wangu kwahiyo alikuwa hafuti meseji japo hizo nilizofuma zimeanzia mwezi wa tatu. Anamwambia asikae kizembe hii bahati aliyoipata kwenye familia yake hakuna binti hata mmoja aliyebahatika kupata mume mwenye unafuu kama mimi.

Sasa hivi ndio akili inanirudi naanza kuunganisha matukio ya nyuma, nimemwaga sana pesa kwao yani alikuwa akiniitisha tu natuma! nimejikuta naumia mnooo najuta hata kufunga hii ndoa, nilijibana nikamfungulia duka ambalo hata mama yangu sijamfanyia hivyo. Lakini mimi nilifanya kwasababu ya kumfanya achangamke na nikikwama kulea familia tukipata watoto anisaidie.

Nimewaza mengi! Nawaza huenda hata hakuwa na nia ya kunizalia maana unawezaje kuiba mali za baba watoto wako? akiishiwa watoto watakula nini sasa? Sijamwambia kitu natafakari kwanza maana nilitaka kummaliza kabisa, niliondoka nyumbani nalala hotelini na hajui kama nimesoma meseji zake, nimezipiga picha tu niko nazo. Nahisi kichwa kinawaka moto. Naomba ushauri wa haraka nisiteketezwe zaidi🙏
Piga chini haraka sana huyo atakufilisi kisha akuache nja panda.
 
Hao dawa yao kula wote wawili mtu na mama yake halafu Piga chini wote mtu na mama yake maana hawana akili
 
Brother relax, hiyo ni hulka ya asili kwa wanawake ( kutaka kuhudumiwa na kujiona wana haki hiyo). Ingekua ni meseji za baba mkwe wako hapo ungeshtuka, kumbuka kua mama mkwe naye ni mwanamke pia.

Wanawake hata baada ya kuolewa huamini kua familia yake ni ile aliyolelewa na kukulia nayo, ndio maana watoto wa kike ndio walezi wakuu wa wazazi wao wanapozeeka na sio wanaume.

Watoto wa kike wanabaki kua na familia mbili hata baada ya kuzeeka, ndio maana kitabu cha Mwanzo kuna mstari unasema "kwahiyo mwanaume atamuacha baba na mama yake ili kujenga familia na mkewe kuungana" je unadhani hayo ni makosa ya kisarufi?

Usimuhukumu mkeo, watoto ni wa kwako, na mke ni wa kwako pia wewe ndio mwenye maamuzi ya mwisho, hana kosa lolote, naye pia atakua anamuambia mwanao wa kike kama unae na ataolewa (Inshaallah) maneno hayo hayo, kwasababu ndio asili ya kua mwanamke.

Mke wangu mwenyewe huwa ana ichukulia familia yake kama ndo familia ya kwanza licha ya kua tuna watoto tayari. Pia punguza kushika shika simu ya mkeo, hakuna zuri utakalolipata zaidi ya huzuni.

Rudi home bro, wale ni wanao na yule ni mkeo. Mali yako. Yule ni mama mkwe tu, pambanua.
 
Mzalishe mkeo kila mwaka utakuja kunishukuru au na wewe ndo wale wa watoto wawili
 
Back
Top Bottom