Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Kama ni kweli, na una uhakika kamtorosha,MUOE YEYE MWENYEWE
 
Kabisa kutapelika imeshindikana na ndio chanzo cha yote kwasababu fujo zilizotokea baada ya mimi kuukataa ugonjwa wake wa uongo ambao ndugu zake wakawa wanalazimisha nitoe pesa kutibu jambo ambalo halipo
Chukua hii mkuu bonge la idea. Au kama vipi potezea jumla matapeli hao, alikuja kwenye ndoa kukutapeli tu kaona hutapeliki kaamua kusepa. Piga kimya
 
Ama kwa hakika mkuu nimejifunza mengi sana sitakaa nirudie tena kwasababu mke na mama yake ni kama mtu wanafanana matendo

Mwanamke ni kama nyoka wa kufugwa utamdhibiti kwa kila namna hata kwa kumng’oa meno kila yaotapo ila iko siku utang’atwa tu!

Mazoea ni mabaya sana hao viumbe usitabirike kwake leo mchekee kesho nuna hadi ajishtukie wiki ijayo kofi la kerbi afu lisilo na sababu kwa nn kakutana nalo kwa ujumla asikusome ulivyo!

Jitahidi uwe na tabia yako ambayo hata ukweni wajute kuwa na mkwe kama wewe mkia waufyate wao sio wewe hata ham ya kuja kwako iwakose!
 
Mwanamke ni kama nyoka wa kufugwa utamdhibiti kwa kila namna hata kwa kumng’oa meno kila yaotapo ila iko siku utang’atwa tu!

Mazoea ni mabaya sana hao viumbe usitabirike kwake leo mchekee kesho nuna hadi ajishtukie wiki ijayo kofi la kerbi afu lisilo na sababu kwa kakutana nalo kwa ujumla asikusome ulivyo!

Jitahidi uwe na tabia yako ambayo hata ukweni wajute kuwa na mkwe kama wewe mkia waufyate wao sio wewe hata ham ya kuja kwako iwakose!
Ndio nilikua ivyo mkuu na ndio maana wameona mambo magumu in short nilikataa kutapelika na kuongozwa na familia ya mke
 
Mkuu toa ushauri kwasababu izo ni story mbili tofauti
[emoji16] aiseeh hadi nimejiona nyoko hii ng’ombe kumbe inatuchora manina wallah najuta kuipa ushauri nzi wa kijani huyo lo lote baya limpate!
 
Wa hivi ajapata mume kama mimi.....angejuta maisha.........ningechukua visa ya Canada harafu ndio iwe bye 👋
 
Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Mkuu umeonyesha udhaifu wa kuwatak san kuptlza

So wew relax
 
Back
Top Bottom