Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

jaribu kutulia na kuona ni swala la kawaida alafu kama ana kaka zake jaribu kuwatumia ao mana inaonekana amekuelezea vibaya kwa mama yake akiwa na hasira au kwa kukurupuka pole sana kaka mambo yatakua sawa tu.
 
Mwanamke hakutaki,mama mkwe hakutaki pia,huoni kama unalazimisha?
Mwisho wa siku ukitiliwa hata sumu ya kukuua taratibutaratibu,watu waje wakuhurumie.
Hebu jiongeze,usifosi,hujui wanakuongeleaje huko waliko,mbaya zaidi majirani yawezekana wanakuona kituko tu.Stand as a real man,show your manhood dude.
 
Mkuu umeonyesha udhaifu wa kuwatak san kuptlza

So wew relax
Nashukuru jamii forum imenipa ujasiri kiukweli saivi wanajuta wananitafuta na sitaki tena sina huruma tena
 
Mwanamke hakutaki,mama mkwe hakutaki pia,huoni kama unalazimisha?
Mwisho wa siku ukitiliwa hata sumu ya kukuua taratibutaratibu,watu waje wakuhurumie.
Hebu jiongeze,usifosi,hujui wanakuongeleaje huko waliko,mbaya zaidi majirani yawezekana wanakuona kituko tu.Stand as a real man,show your manhood dude.
Nashukuru sana kwakunipa ujasiri kiukweli hiki ndio nimefanya na matunda nayaona
 
jaribu kutulia na kuona ni swala la kawaida alafu kama ana kaka zake jaribu kuwatumia ao mana inaonekana amekuelezea vibaya kwa mama yake akiwa na hasira au kwa kukurupuka pole sana kaka mambo yatakua sawa tu.
Mkuu yani hao kaka zake ndio vinala wa kunitumia sms za kuniachanisha nae yani kwakifupi io familia wana umoja kuhalalisha tabia zake yani ata nilikua nikituma sms kwa mke zinajibiwa na kaka zake kwakifupi amawafoadia zote sasa io hali imenichosha kabisa ngja ashike hamsini zake tu
 
Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Umemuoa, umemlipia mahari?
 
Kata matumizi yote
Kata mawasiliano
Tafuta chombo kipya.
Usipende mtoto kuliko mama yake
Jiandae kuitwa ustawi wa jamii
Wakiona huna shobo nao
 
Kata matumizi yote
Kata mawasiliano
Tafuta chombo kipya.
Usipende mtoto kuliko mama yake
Jiandae kuitwa ustawi wa jamii
Wakiona huna shobo nao
Ndio ninacho kisubiri na nitawashangaa sana kwasababu watamuitaje mtu ambae walimficha mbali na mtoto wake najua lazima wataenda tu kwasababu kwa sasa kinachofanya wawe hivyo ni wana tabia ya kujikweza sana na mm naikataa mazima
 
Back
Top Bottom