Mama Mulamula umekosea, unasema Ulaya wanatuleteaga vitu vya sumu huku Afrika: Una ushahidi wa hilo?

Mama Yuko right 100% Mtu mweupe hajawai muwazia mema mtu mweusi. Kama unafikiria watu weupe wanatupenda Basi haujabeba kichwa umebeba boga.
 
Smartphone sio ya beberu. Kuna scientist weusi wamechangia kiasi kikubwa sana kuvumbua technologia ya mawasiliano. Huwa hawatangazwi. Lakini nenda google uliza " black scientist" uone discovery ndo utashangaa. Unaambiwa hata electric bulb inayosemekana amevumbua edison sio yeye alivumbua. Ni mtu mweusi. Pia kuna lift, train engine, na mengine mengi ambayo kila wanapovumbua sifa zinaenda kwa wamiliki wa kampuni
 
Acheni inferiority complex mbona wachina hawalalamiki? Wanajitegemea kwenye almost kila kitu mpka chanjo ila sisi tumekaa kulaumu mzungu tu ilihali tunawategemea kwa kila kitu.

Sasa unadai chanjo zinatuua? Ili iweje? Kwani mzungu akitaka kuchimba madini Tanzania au DRC ni mpaka atuue kwa chanjo? Si mikataba halali anapewa tena kwa kuhonga mawaziri vi dola vichache tu ssa why circumlocuting the long path.

Tuache kujitapa wazungu wana njia elfu 1 za kutuua hawahitaji kusubiri mpaka chanjo ya Corona. Maana ni uzembe kuna TFDA/NEMC alafu wanashindwa kudetect kma chanjo ina sumu? Then hapo kosa ni la beberu au sie waafrika wenyewe wanasayansi wasiojua hta kutengeneza panadol?

Tuache kulialia tujitegemee tuone nani atatuonea
 
Yawezekana hata ebola haipo. Yawezekana ni kitu kingine kinakua introduced kwa jina la fake ebola. Yahitaji umakini
 
Mimi naona tuwaache kwanza tuone mwisho wao maana wamejaribu kupitia mlangoni moto ukalipuka sasa wanajaribu kupita dirishani.Tanzania kuna mambo mengi yamekwama nje ya chanjo lakini pia wakitaka kutudhuru wanaweza kupitia njia nyingine mbona kila kitu nichawazungu?
Iyo roho isipowatoka watakufa kama Mfalme Sauli wataisha wote.
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Futa kauli yako, sisi tumeweza kutengeneza chanjo, tunashindwaje kuchambua chanjo?
Chanjo yenyewe ni ile ya mapapai?
 
Rudi shule, una akili ndogo sana
Wewe ndo urudi3 shule sasa....hii ni sawasawa na3 kusema naishi dar es salaam lkn ujulikani dar ip unaishi....mama endelea ku flow
 
Kweli mama waambie ukweli, Ubelgiji imemfanya Kamanda wetu kuwa ndondocha! eti "the very dark guy, died due to covid"
 
Mwache afunguke, mwana diplomasia wa siku nyingi sana, labda kabla hujapata fahamu na mambo ya kimataifa, anajuwa anachokiongea, msikilize na amuwa, ila usitake afunge mdomo ndugu, zama hizi ni hatari kuliko za nyuma, wengine tunakubaliana na yeye, mzungu siyo binadamu mzuri hata kidogo, wenye masikio na macho wamsikie na kusoma asemacho huyu mama, shauri yao wanaowakumbatia wazungu kitakachowapata na kizazi chao watajuta
 
Hii nayo ni dhahania tu..ushawahi kwenda kupima weledi wa hivyo vyombo vyetu lakini? Hivi nini kizazi cha 1990's mnashida gani lakini???
 
Mkuu unataka tukuamini wewe kuliko balozi ambaye kakaa na hao mabeberu miaka kibao na anawajua tabia zao sasa wewe mwenzangu ambaye sijui ni mbeba box au mla vumbi unaleta ligi,sijui kama itakusaidia haya balozi kesha sema sasa wewe nenda ITV katengua hayo aliyoyasema,kwa kifupi akina Bill Gates si watu wazuri hata kidogo wao hutumia pesa zao kufanya tafiti mbalimbali kama hizi za virusi ili baadae watawale ulimwengu na kututoa kwenye mstari.
 
Bwana weeeeeehh tutakufa kama siafu wanaokatisha barabara wakakanyagwa na gari?? Kuchukia wenye akili haiwezi kufuta ujinga wa mtu.. ukipata malaria unakimbilia dawa zao🤣🤣🤣 ukipona wanatuletea sumu🏃🏃🏃
 
Siku hizi umejifunza kuandika vizuri mama julian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…