Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
-
- #201
Upo sahihi sana mkuu. Hawawazi kutoboa sio kuiba kama lile kabila la mkoa wa kaskazini..Kweli aisee. Wanakula wanachopata na huridhika na kidogo walichonacho. Hii inaboresha afya ya akili
Upendo husitiri maovu mengiKweli kabisa mkuu. Mama wa watu amejitoa mhanga. Mungu kamnyima mali akampa karama ya upendo..
Kuna uhusiano mkubwa kati ya ukalimu na kiwango Cha elimu ya mtu ,hasa kwa mtaala wetu wa Tanzania ,chunguza utagundua kituhamkusoma sana na mna vipato vidogo, lakini Mwenyezi Mungu amewapa mioyo iliyojaa upendo mnoo.
Wasomi wenye upendo wapo, ila ni wachache sana kwa maana wengi wao wanawaza kutoboa.Kuna uhusiano mkubwa kati ya ukalimu na kiwango Cha elimu ya mtu ,hasa kwa mtaala wetu wa Tanzania ,chunguza utagundua kitu
Binafsi nimekaa na wasukuma ambao hawajaenda shule ,ni wakalimu mbaya, tofauti na wasukuma haohao walioenda shule
Labda shule ndio tunda lenyewe walilokula Adam na Eva Hadi wakajua like
" Haaa Adam una mguu wa tatu!!!!?
Adam: mbona na wewe una mdomo mwingine huko !??
(Knowledge)
Na sikuzote mtu asiye na uwezo ndiye mtoajiKuna watu ni low income earners ila wana huruma mnoo..
Kweli kabisa mkuu..Na sikuzote mtu asiye na uwezo ndiye mtoaji
Aisee. Kuna watu wana mioyo ya kushangaza sana ujue mkuu??..Kuna siku nilikuwa na hela nikampa maskini alikuwa pembeni mwa jengo.Alikuja mdada muuza ndizi alimuuliza yule maskini leo umekula?Akamwambia hapana ,yule dada alitoa ndizi kwenye kibeseni chake na kumpa yule baba kisha akaendelea na njia yake.Nilishangaa sana kwamba huyu mtu biashara yake ya kutembeza ndizi tena kwenye kibeseni kidogo ila hakujali kutoa ndizi kumpatia mwenye shida
Hakika mkuu..Upendo husitiri maovu mengi
Nilijua tu hata usingemalizia kuwa wewe sio muislamu nilishajua upande wako....hivi kufunga Ramadhan kwa muumini unajua ni jambo la lazima?Uislam haujawalazimisha bali umewafundisha.
NB: Mimi sio Muislam..
Sio la lazima ila ni muhimu..Nilijua tu hata usingemalizia kuwa wewe sio muislamu nilishajua upande wako....hivi kufunga Ramadhan kwa muumini unajua ni jambo la lazima?
Ukristo haupo kama uislamu kwahiyo usilete hisia zako kutenda wema ni swala la lazima kwa muuminiSio la lazima ila ni muhimu..
Hiyo kweli kabisa, si wazaramo tu, watu wa ukanda wa pwani hawana stress kabisa na maisha. Nimeishi Lindi na nimeyaona hayo, na ni wakarimu kwa kila kitu.Nasemaga kila siku humu, wazaramo pamoja na mapungufu yao ila, Kama kuna kitu wamefanikiwa ni kutokuwa na stress, huwa wanaridhika na vitu vidogo sana kwenye maisha
Kuwa mtu mwema ni suala muhimu sana katika maisha..Ukristo haupo kama uislamu kwahiyo usilete hisia zako kutenda wema ni swala la lazima kwa muumini
Kila kabila lina watu wakarimu, lakini wazaramo pamoja na makabila mengine ya Pwani Mungu awewanyima utajiri wa mali lakini amewapa utajiri wa roho ya upendo..Hiyo kweli kabisa, si wazaramo tu, watu wa ukanda wa pwani hawana stress kabisa na maisha. Nimeishi Lindi na nimeyaona hayo, na ni wakarimu kwa kila kitu.
Sio muhimu ila ni lazimaKuwa mtu mwema ni suala muhimu sana katika maisha..
Sawa mkuu..Sio muhimu ila ni lazima
Mimi mtu akishakuwa mfuasi wa Mwamposa namwondolea thamani.Mwanamke mjamzito huwa anatia huruma fulani hivi.
Jana tulikuwa tunaongelea watu wanaokuja kwa Mwamposa kutoka mikoani na kukosa huduma za kijamii. Kuna jamaa mwanaume anasema ilibidi amuokoe mwanamke mjamzito aliyekuja kwa Mawamposa bila mwenyeji, akawa anaumwa, ikabidi jamaa amchukue ampeleke nyumbani kwake, ambako alikuwa na mke tayari, mpaka akaingia lawamani majirani wakawa wanamwambia mke wake kwamba huyo bwana kamletea mkemwenza.
Upo kama mimi mkuu. Taasisi yoyote ya dini iliyoanzishwa baada ya Mwalimu Nyerere kuondoka madarakani, hiyo ni taasisi ya kihuni tu..Mimi mtu akishakuwa mfuasi wa Mwamposa namwondolea thamani.