wewe na sista gabriella hamtupi shida kwa kuwa tunajua mienendo yenu
Hilo la wewe kubaki peke yako siliafiki ila mimi nilikuwa nashauri mimi na wewe tuwe mwili mmoja ili tuepuke hizi "KAZI ZA NJE"
hebu cheki na kimey aliniambia ana mpango wa nje huko usalule sasa sijui ufunge safari uende huko
Napenda kuweka malalamiko yangu rasmi.....hii thredi inaenda haraka kupita maelezo.....kurasa 10 kabla sijasoma ukurasa wa kwanza?
@Teamo....hii thredi imelenga kupata maoni ya MMN na MN?....napendekeza hii thredi iwe exclusive kwa wale ambao ni MMN na MN....wapi Da Sophy?
[@Asprin/Kaizer: (Sensa na ule mpango wa PJ aruchaga?)]
Bado tupo kwenye topic ile ile au kuna issue mpya tunadiscuss.....:confused2:
(kama kawaida mkku st RR ila Teamo anadai eti tunachakachua sredi)
maana yangu hapo ni kwamba kuolewa sio RULE....!kwamba muda ukifika lazima uolewe....wakat mwingine sio lazima uolewe ndo maana wengine wanalazimisha
mpango wa nje+mpango wa ndani=
Swali la mwisho.....mwenye kosa hapa ni nani?
MMN au MN au mmiliki wa mipango hiyo miwili?
Hapa tupo ukurasa mmoja kiongozi....
Mpango mzima!:kiss:mpango wa nje+mpango wa ndani=
magazijutompango wa nje ndani
magazijuto
hapa kosa ni la kwako wewe mr wangu...1..kwa kutokuridhika na ulichonacho(wife)...2...kwa kunidhalilisha kuchunguliwa chunguliwa nje(kuvua chupi bila displine)...3..kwa uvujishaji wa pesa za maendeleo ya familia....hapo hawara yako anatakiwa akae kimya kimya kabisa hata acnyanyue mdomo akiona nakurushia chupa, akifanya hivyo kibao kitageuka!
Kijana inakuwaje baaaanaaa! Habari zenyu za usalule baaaanaa!Mpango mzima!:kiss:
mmmm the finest hata wewe si mwanaume, nitakuamini je baba.
Eti wewe utakua mwaminifu asilimia mia moja kwene ndoa yetu.