''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

ha ha ha!
haya bana......!

hebu toa komments zako kabisa

Unataka maoni ya wanaomiliki au wanaomilikiwa?....Nikitoa maoni ya umiliki....mmiliki ndo zaidi ya vyote, kama alivyosema Acid kabla....

aisee mkuu upo?

Na wewe kuna haja ya kukufanyia training ya kunywa mbege....uachane na mnazi.....well...nipo mkuu...a little to west ila am back..
 
HAYA BWANA!
kwa hiyo unamaanisha kuinjoi ni FUNCTION of TIME(in seconds)

Yup umenipata sawia! mda anaotumia kuwa na wewe unamata sana sasa ukipewa kila kitu and then haonekani unaona imekaaje hiyo?
 
unataka maoni ya wanaomiliki au wanaomilikiwa?....nikitoa maoni ya umiliki....mmiliki ndo zaidi ya vyote, kama alivyosema acid kabla....

na wewe kuna haja ya kukufanyia training ya kunywa mbege....uachane na mnazi.....well...nipo mkuu...a little to west ila am back..

well i suggest training ianze kuanzia dec 24
 
Yup umenipata sawia! mda anaotumia kuwa na wewe unamata sana sasa ukipewa kila kitu and then haonekani unaona imekaaje hiyo?
hii nimeipenda sana mkuu!.....

will work on this parameter so far
 
Ni vizuri ukaamini tu....[/QUOTE

and some of you are 'dads here to beautiful young daughters....what message do you send to your kids...kuwa nyumba ndogo ndio deal???hovyoooooo!
 
and some of you are 'dads here to beautiful young daughters....what message do you send to your kids...kuwa nyumba ndogo ndio deal???hovyoooooo!

:kiss::kiss:
 
thread imeingia KIRUSI...!
 
nimewasoma ngoja nikafanye practice mwalimu mzuri ni yule anafanya kwa vitendo halafu ntakuja na majibu kwa wababa wa JF ivi mlivyo na roho ndogo mkisikia mnamegewa inakuwaje maana sielewi mnachoandika hembu fikiria mama toto ni mpango wa nje wa FINEST AU TEAMO vyote anapewa huko kupunguza stress unazompa nawasubiri kama mada haijageuzwa hii sijui
 
waswahili wanasema mtu akiwa anapinga sana kitu basi ndiye kinara wa kufanya hayo mambo kama vile haka kausemi kana ukweli ndani yake
 
Ni vizuri ukaamini tu....[/QUOTE

and some of you are 'dads here to beautiful young daughters....what message do you send to your kids...kuwa nyumba ndogo ndio deal???hovyoooooo!

Stress may lead to chronic mental disorder, and applying 'Mpando wa Nje' may help heal even the root....MSAIDIENI HUYU MAMA Jamani, she needs exactly what we are talking about
 
Back
Top Bottom